Mkuu..chuo ndio kinawapa TCU vigezo na sifa za wanafunzi,kwa hiyo wao TCU wanakuchagua kulingana na maelezo waliopewa na vyuo husika
Hivyo nadhani haiwezekani TCU ikuchague then chuo kikukatae
Yani ni kama mimi nikuagize kaniletee gari mpya Murano nyeusi iwe hivi na hivi halafu then wewe ukatae useme siitaki hii wakati vigezo ulinipa mwenyewe