Tanzania1960
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 204
- 22
Deo Munishi hata kule Azam yuko benchi na hajacheza kitambo.......................Hivi jamaani watanzania huu uteuzi wa wachezaji wa Taifa Stars umezingatia nini hasa?yaani unamchukua mchezaji ambaye hata nusu ya mechi za ligi hajacheza ,labda mimi sioni vizuri kwa hiyo watanzania wenzangu hebu nipeni mwanga.Kweli huyu kocha anaona vipaji vingine au anaambiwa tuu?
he alafu isije kuwa kama ahh uwanja mbaya ,ahh wachezaji walilala wawili wawili, ahh sijui walichoka blah blah blah blah............,sijaona mchezaji yeyote kutoka timu za jeshi au polisi na ndio wazuri na wananidhamu ya hali ya juu.hayo ni yangu.simba ina wachezaji 9,kweli wana viwango hivyo?
Simba ina wachezaji 9,kweli wana viwango hivyo?
Deo Munishi hata kule Azam yuko benchi na hajacheza kitambo.......................
Kocha simwelewi kabisa,beki hiyo ya mnyama inayopitika ndo yakujengaukuta wa TaifaStars.Timu zingine haziana wachezaji wazuri?Amefungiwa pia kwa tuhuma za rushwa na utovu wa nidhamu. Huyu kocha hana jipya, takbir!
Simba ina wachezaji 9,kweli wana viwango hivyo?
imefungwa magoli mangapi hadi useme beki inapitika?Kocha simwelewi kabisa,beki hiyo ya mnyama inayopitika ndo yakujengaukuta wa TaifaStars.Timu zingine haziana wachezaji wazuri?
So far Simba ndio timu bora.. Ndo mabingwa watetezi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
jana ilikuwaje na toto?imefungwa magoli mangapi hadi useme beki inapitika?
Kweli mkuu.....Waambie hao,simba 0-TOTO 1
jana ilikuwaje na toto?
Toto naye jana kajiangushia team ya Taifa ya Tanzania,nafikiri Kim alikuwepo uwanjani kuwashuhudia wachezaji wake 9 wakitolewa jasho na team inayoshika nafasi ya 2 kutoka mkiani.
Hivi kule Uganda tunakwenda kushindana au kushiriki,eti Wadau? kwa wachezaji hawa waliokula 1-0 na 2-1 hapa Taifa na kule Mkwakwani respectively tutarajie nini?
msuva na domayo walipata umaarufu baada ya kuitwa stars na kuonyesha kiwango yanga ndio ikawasajili...mwacheni kocha afanye kazi yakeHivi jamaani watanzania huu uteuzi wa wachezaji wa Taifa Stars umezingatia nini hasa?yaani unamchukua mchezaji ambaye hata nusu ya mechi za ligi hajacheza ,labda mimi sioni vizuri kwa hiyo watanzania wenzangu hebu nipeni mwanga.Kweli huyu kocha anaona vipaji vingine au anaambiwa tuu?