Uteuzi wa Rais usihojiwe

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,193
3,325
nimeikuta mahali
dd501e7fd119670d79f03232a16aaaa7.jpg
Jana baada ya mama Anna kuteukiwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kikimanjaro watu wengi hasa wana CCM walianza kufikiri namna ambayo mama huyu ambaye ni ACT anaweza kuhudhuria vikao vya CCM mkoa wakati yeye si mwanaccm.

Kwa mujibu wa katiba yetu ya Tanzania haijatoa garantee kuwa mkuu wa mkoa ni lazma achaguliwe toka chama cha CCM tu. Kasomeni ibara ya 61 na ibara zake ndogo ya kwanza hadi ya Tano. Hakuna mahali inataja mkuu wa mkoa lazma atoke chama tawala.

Kwa mujibu wa katiba ya CCM ibara ya 91 kipengele kidogo cha C inataja wajumbe wa mkutano mkuu wa mkoa kuwa mkuu wa mkoa anaweza kuhudhuria ila sharti ni lazma awe mwanaccm.
Kwa maana hiyo kwa kuwa si mwanaccm hataruhusiwa kuhudhuria.Mpaka hapo rais hajafanya kosa lolote kikatiba.

# ANGALIZO
Mkuu wa mkoa anatajwa kimazingira na katiba ya CCM kama mwanachama wake.

Mkuu wa mkoa anatajwa na katiba ya ccm kama mjumbe wa mkutano mkuu wa Mkoa, Mjumbe wa halmashauri kuu ya mkoa, na mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa.

Katika ngazi zote hizi zina kazi na majukumu yanayotofautiana na yanayomhitaji sana mkuu wa mkoa kwenye utekelezaji wa majukumu yake. Katika mazingira ambayo mkuu wa mkoa si 100% affiliated Kwenye chama cha mapinduzi ngazi zote hizi za mkoa zitakosa ushirikiano wa mkuu wa mkoa katika kutekeleza wajibu wake.

# Maana rahisi kabisa ya chama cha siasa ni muunganiko wa watu wenye lengo moja la kukamata dola na kuiongoza kwa kutumia mbinu zozote...operational definition.

Kwa maana hiyo kwa sasa katika ngazi zote za kiutendaji vya ccm mkoa vinamkosa mjumbe mmoja ambaye mwavuli wake unawafanya watendaji wa chama kufanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa.

# Ni busara zaidi kama tunahitaji mafanikio kwenye siasa za mkoa wa Kilimanjaro kumbatiza Mama Anna ubatizo wa CCM.Vinginevyo tutakuwa tumeizika CCM Rasmi katika mkoa wa Kilimanjaro ambao una jimbo moja tu la CCM (MWANGA).

Mkoa wa Kilimanjaro ndio mkoa unaotoa wenyeviti wa vyama vya upinzani kwa asilimia kubwa TLP, NCCR, CHADEMA nk wenyeviti wake wametokea mkoa wa kikimanjaro. Kiasili ni Ngome ya upinzani kama utawapekekea mkuu wa mkoa mwenye ufungamano na upinzani utakuwa umewarahisishia kazi zaidi.

# Alitakiwa mkuu wa mkoa mwenye ujasiri wa kubeba ilani ya CCM na kuisimamia, mwenye ujasiri wa kutembea kwenye vijiwe vya bodaboda,na vijiwe vinginevyo na kuwashawishi wapandishe bendera za CCM.

# Kwangu chaguo la Mheshimiwa Raisi ni zuri ila mama Anna alitakiwa aende mkoa ambao hauna upinzani mkubwa mkubwa kama mkoa anaokwenda.
Kilimanjaro ndio nyumbani kwa Mbowe ,Lema, Mbatia na wengineo hivi vichwa vinatakiwa kijana anayeweza kufanya fitna za kisiasa mwenye mamlaka ya mkuu wa mkoa.

Anayeweza kutuma defender ikamchukue mmoja wao pindi anapoleta ukorofi wa kutokutii sheria.
Someni katiba ya CCM vizuri muone kama bila mkuu wa mkoa ambaye ni mwana Ccm watafanyaje.
 
Unataka mkuu wa mkoa anayeweza kufanya fitna? Eee Mwenyezimungu, usipotusamehe na kuturehemu, tutakuwa ni wenye hasara kupita watu wote?
 
Who The Hell is he asihojiwe? Mfalme au Mungu? Anahojimwa Pope na Marais wenye Majina wawe Marais wasio na Maninilii ya Wababa! You must be kidding me!
 
Back
Top Bottom