Magu Senior Member Jun 13, 2011 156 56 Jan 1, 2012 #1 Mwenye taarifa za uteuzi na uhamisho wa makatibu wakuu naomba atujuze. Kuna taarifa kuwa Mhe. Rais kafanya uteuzi na kuwahamisha makatibu wakuu wa wizara mbalimbali. Mwenye taarifa za uhakika atusaidie kutujuza plz.
Mwenye taarifa za uteuzi na uhamisho wa makatibu wakuu naomba atujuze. Kuna taarifa kuwa Mhe. Rais kafanya uteuzi na kuwahamisha makatibu wakuu wa wizara mbalimbali. Mwenye taarifa za uhakika atusaidie kutujuza plz.
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Jan 1, 2012 #2 hebu kaangalie kule kuna siredi kaleta Invicible ina habari yoote