Utetezi dhidi ya shutma

Utetezi dhidi ya shutma

Emmy lady

Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Habari marafiki.

Najua mlishtushwa na kile kilichotokea siku ya jana.

Kijana micka jac si tapeli au mwongo kama mlivyomdefine.

Actual hata mimi kama ndo ingekuwa mara ya kwanza kuona ningeweza kuhisi hivyo.

Tangu mwanzo dogo alikuwa ananiazima simu na kuitumia katika mambo yake.

Siku tatu zilizopita nami nilicreate profile ya jf pasipo yeye kujua.

First time kwa ile jana aliokuja kuniazima nilikuwa nimelog out, ila mara ya pili nilisahau na yeye alijua kuwa ipo profile yake ileile.

This is a good boy and he has a good behaviour.

Yaan mpaka anaogopa kwa maneno mliyomshtumu!

Swali kwenu, kama angekuwa mwongo ule ushaidi wa form na mlolongo mzima wa usajili wake angelipiwa vipi mtihani?

Muwe na kaasubuhi kema. Chezea mshahara na si kibarua.

Ngoja niingie kwa ofisi. Chum chum to all
 
Anaweza kuwa mwanafunzi kweli na akaamua kutapeli.. Kwan huwaoni wale wa kinigeria wanaojielezea kuwa wako kambi za wakimbiz?? Dunia imekwisha binadam tumegeuka wanyama.... Never ever trust any body
 
Anakuazima simu anaitumia katika mambo yake? Kwa hiyo wewe huitaji kupigiwa simu wala kupokea! Kwa siye wengine na wengine wengi huwezi kukaa mbali na simu yako au kumpa Mtu simu unayotumia.

Halafu you sound like men and not 'Emmy lady'
 
Sasa wewe unadhani unaaminika? Unaharibu zaidi badala ya kusaidia.
 
Hapa asieweza kulisoma chezo, atadanganyika na ulichokiandika we kubali unaID mbili na jana ulijichanganya basi....

Unataka kuleta habari za saccos hapa!
 
please wenye hiyo link ya jana aniwekee nipate kujua
 
Hapa asieweza kulisoma chezo, atadanganyika na ulichokiandika we kubali unaID mbili na jana ulijichanganya basi....

Unataka kuleta habari za saccos hapa!

Umeongea kikubwa, japo sijui kitu gani kinaendelea ila kwa harakaharaka tu nnachokiona hapa kunakitu hakipo sawa, kwa sababu hata kama amegundua kwamba kuna kitu hakikwenda sawa kama madai yake, wangetumia ID ya huyo dogo na yeye mwenyewe angeomba radhi kwa kilichotokea. Hapo kama alivyosema Kongosho ni kuongeza mashaka zaidi tu.
 
Last edited by a moderator:
....nyama ikishakuja buchani hairudi kuwa ng'ombe..
...too late dogo..njoo kivingine...
 
Hapa asieweza kulisoma chezo, atadanganyika na ulichokiandika we kubali unaID mbili na jana ulijichanganya basi....

Unataka kuleta habari za saccos hapa!
Kama si kweli basi ana bahti mbaya hasa maana kiukweli kueleweka tena ni ngumu!
Bwawa ndio limeshaingia ruba hivyo!!!
 
Habari marafiki.

Najua mlishtushwa na kile kilichotokea siku ya jana.

Kijana micka jac si tapeli au mwongo kama mlivyomdefine.

Actual hata mimi kama ndo ingekuwa mara ya kwanza kuona ningeweza kuhisi hivyo.

Tangu mwanzo dogo alikuwa ananiazima simu na kuitumia katika mambo yake.

Siku tatu zilizopita nami nilicreate profile ya jf pasipo yeye kujua.

First time kwa ile jana aliokuja kuniazima nilikuwa nimelog out, ila mara ya pili nilisahau na yeye alijua kuwa ipo profile yake ileile.

This is a good boy and he has a good behaviour.

Yaan mpaka anaogopa kwa maneno mliyomshtumu!

Swali kwenu, kama angekuwa mwongo ule ushaidi wa form na mlolongo mzima wa usajili wake angelipiwa vipi mtihani?

Muwe na kaasubuhi kema. Chezea mshahara na si kibarua.

Ngoja niingie kwa ofisi. Chum chum to all
Asa we si unakazi unashindwaje kumsaidia dogo kijipesa kiduchu hivyo.
 
Ushafeli...

Mpo wengi sana wenye kasumba chafu ya kuchezea watu akili

Shuzi likishajambwa haliwezi rudi kwa mjambaji, wenye kupata tafrani ni wanusaji
 
Back
Top Bottom