Tunakubali sawa ila hao jamaa(wapanga rank) wanajua kama huku mtaani tunaomba poo kwa maisha yalivyo magumu?Habari wakuu,
Tuna kila sababu sisi watanzania kumshukuru Mungu na kutoa fungu la Kumi kwa Kutupatia Rais Magufuli,
Mataifa mengi yanatamani sana kuwa na kiongozi anayefanya ambayo magufuli anafanya lakin wameshindwa,
Kwa haraka haraka ranking ya utendaji Afrika inamuweka Rais Magufuli nafasi ya kwanza,
Na kwa africa mashariki anayefuata ni Kagame ambaye kwa Africa ameshika nafasi ya 4,
Mnangagwa kashika nafasi ya 5 , wakati Uhuru Kenyata akiwa nafasi ya 17
https://www.africaranks.com/forums/presidents.6/
Mkuu, hicho ndio kizazi kilichopatikana kutoka kwenye mimba zilizotungwa kwenye mikesha ya mbio za Mwenge wa CCM..Lumumba bana
Hii point mkuu haya majamaa chenga sanaMkuu, hicho ndio kizazi kilichopatikana kutoka kwenye mimba zilizotungwa kwenye mikesha ya mbio za Mwenge wa CCM..
Wote hamnazo.
Teh teh teh... hapo sawa mkuu!Mkuu, hicho ndio kizazi kilichopatikana kutoka kwenye mimba zilizotungwa kwenye mikesha ya mbio za Mwenge wa CCM..
Wote hamnazo.
Hii ranking imefanywa na Lumumba!Chadema watapinga na kumtaka mzee wa kupata alosto na kukimbilia S Africa ndiyo aongoze