Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Habar WanaJF
Ni masikitiko yangu kuwa wazima, lakini napenda kutoa dukuduku zangu juu ya chama changu ccm
kwa kuendeleza utemi nakutosamini wanachama wake, wengi wa wanachama wamekikimbia kwa sababu ya utemi na ufisadi.
Kamati kuu imefanya maamuzi yake na kumchagua nape ambaye ni mchanga katika siasa za tanzania na kuishia kuropoka kila wakati, mambo mengine sio ya kuropoka lakini yeye anatumia jukwaa kuropoka
sisi wanachama wadogo tunauzunika sana mana tulikuwa tunafikiri tumepata nafuu ccm inajivua gamba lakini sasa ni kinyume, wameshidwa kuwafukuza mafisadi maana wanawajua kwa majina. Wanachama tunakililia chama chetu
Rais tunaomba uwasikilize wanachama wako chama kinaangamia, hakina mvuto tena kwa sura ya watanzania
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CCM

Mliligundua hili kabla ya kumchagua au baada ya kumchagua???? Chama Cha Magamba banaaaHabari WanaJF
Ni masikitiko yangu kuwa wazima, lakini napenda kutoa dukuduku zangu juu ya chama changu ccm
kwa kuendeleza utemi nakutosamini wanachama wake, wengi wa wanachama wamekikimbia kwa sababu ya utemi na ufisadi.
Kamati kuu imefanya maamuzi yake na kumchagua nape ambaye ni mchanga katika siasa za tanzania na kuishia kuropoka kila wakati, mambo mengine sio ya kuropoka lakini yeye anatumia jukwaa kuropoka, Je kamati kuu ilikosa mtu makini wa kubeba jahazi? kamati mpya imefanya ziara mikoa mingi lakini muitikio wake ni mdogo vijana wote wamekimbia. Je hapa manajenga chama gani? Kama wazee ndo wamebaki CCM
sisi wanachama wadogo tunauzunika sana mana tulikuwa tunafikiri tumepata nafuu ccm inajivua gamba lakini sasa ni kinyume, wameshidwa kuwafukuza mafisadi maana wanawajua kwa majina. Wanachama tunakililia chama chetu
Rais tunaomba uwasikilize wanachama wako chama kinaangamia, hakina mvuto tena kwa sura ya watanzania
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CCM
Mnapochagua wastaafu mnategemea vijana watawaunga mkono Katibu wenu hana hata mvuto wa kisiasa Makamba alikuwa mropokaji lakini alikuwa na mvuto kwa kundi la wanawake kwa hali hii mjiandae kuwapoteza vijana na kinamama.
.........

Linanukalakuvunda....
Nasikia siku hizi anaitwa mzee wa UWANJA wa Helkopita kwa upara wakeHivi kulikuwa na sababu gani ya kuchukua mstaafu wakati mna makada wengi tu chamani? hawa wangebaki katika baraza la ushauri..
Kweli mapacha (RACHEL) walipandikiza watu humu jukwaani!!!!! Threads/ posts za siku hizi za Jeykey / Malaria Sugu zinadhihirisha. they seem to be u-turning.Habari WanaJF
Ni masikitiko yangu kuwa wazima, lakini napenda kutoa dukuduku zangu juu ya chama changu ccm
kwa kuendeleza utemi nakutosamini wanachama wake, wengi wa wanachama wamekikimbia kwa sababu ya utemi na ufisadi.
Kamati kuu imefanya maamuzi yake na kumchagua nape ambaye ni mchanga katika siasa za tanzania na kuishia kuropoka kila wakati, mambo mengine sio ya kuropoka lakini yeye anatumia jukwaa kuropoka, Je kamati kuu ilikosa mtu makini wa kubeba jahazi? kamati mpya imefanya ziara mikoa mingi lakini muitikio wake ni mdogo vijana wote wamekimbia. Je hapa manajenga chama gani? Kama wazee ndo wamebaki CCM
sisi wanachama wadogo tunauzunika sana mana tulikuwa tunafikiri tumepata nafuu ccm inajivua gamba lakini sasa ni kinyume, wameshidwa kuwafukuza mafisadi maana wanawajua kwa majina. Wanachama tunakililia chama chetu
Rais tunaomba uwasikilize wanachama wako chama kinaangamia, hakina mvuto tena kwa sura ya watanzania
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CCM
Hujui kuwa jeykey ndiye MS jana MS kala ban leo anatumia ID hii kwa hiyo unapoona jeykey na MS wamebadilika usifikiri ni watu wawili tofauti.Kweli mapacha (RACHEL) walipandikiza watu humu jukwaani!!!!! Threads/ posts za siku hizi za Jeykey / Malaria Sugu zinadhihirisha. they seem to be u-turning.
Habari WanaJF