chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,383
- 24,939
Kuna rafiki yangu wa karibu kanitumia taarifa hii muda si mrefu akiwa safarini.''Nipo maeneo ya Mkata kunautekaji wa magari umefanyika watu wameumizwa na kuibiwa''.
Nimejaribu kumpigia simu simpati.Mamlaka husika mnapopata taarifa hii tafadhali chukueni hatua za haraka kuwanusuru hawa ndugu zetu pamoja na mali zao.
Naomba kuwasilisha!
Nimejaribu kumpigia simu simpati.Mamlaka husika mnapopata taarifa hii tafadhali chukueni hatua za haraka kuwanusuru hawa ndugu zetu pamoja na mali zao.
Naomba kuwasilisha!