Utayapata tanzania pekee

Utayapata tanzania pekee

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
RAIA WA KIGENI wawili Tsu Chin Tai na Zhao Hanqueing waliokuwa wanatetewa na wakili John Mapinduzi na Ibrahim Bendera, Februali 23 Mwaka 2012 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ,iliwakuta na hatia katika kwa kosa la kufanya uvuvi haramu katika bahari ya Hindi Ukanda wa Tanzania, maarufu kesi samaki wa Magufuli"kifungo Cha jumla ya Miaka 30 Jela au KULIPA faini ya sh. Bilioni 22,Leo Mahakama ya Rufaa imewaachilia Huru baada ya kuona hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ilikuwa na makosa ya kisheria. Ila washitakiwa Hao wamerejeshwa gerezani kwaajili ya Taratibu nyingine za JESHI Hilo la Magereza ili wawe za KUACHILIWA Huru.

Sasa chakujiuliza ni je? Ile meli iliyogeuzwa skrepa na kuanza kuzamishwa kinyemela itakuwaje?
 
Duuh samaki wa Maghufuli hao!siku zote serikali yetu hushindwa kesi
 
Nchi hii imeoza hakuna kitu,mara waliochukua hela za epa warudishe,namajina ya wauza unga,ninayo majina ya majangili,kuwataja huwataji na hatua hawachukuliwi hatua,basi yeye ni mmoja wao ndomaans hawataji,serikali hii kila kesi wanashindwa kasoro ya babu seya tu.
 
Back
Top Bottom