Utawala wa JK

Utawala wa JK

mzanzibara-

Senior Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
179
Reaction score
59
Naomba kuuliza katika utawala wa JK ni mema gani tutakayomkumbuka
Kwani akiwa madarakani kumeibuka mengi ya kukera wananchi
1. Richmond
2. EPA
3. Sembe ndio limelizidi kupanda chat na hakuna aliyekamatwa akashtakiwa mpaka na wala kuteketezwa kama wanavyotekeza vipodozi( Mwakyembe atupe ripoti kwani alisema kuwa keshafatilia kesi zote za sembe tutapewa majibu kimya mpaka leo
4. Nilimsikia JK akihojiwa na BBC Swahili kuhusu pembe za ndovu akasema watu wanaofanya biashara wanafahamika lakini hakutaka kuwasema, muda ukifika atawasema nina wasiwasi itapotezewa mpaka atakapotoka madarakani, wanaojua mengine watiririke
 
Kafanikiwa sana kusambaza udini.Ni ktk hawamu hii makundi na mihadhara ya kutukana ukristo vimestawi.kwamba watu wana haki ya kuua viongozi wetu wa dini,kuchoma makanisa,na mengine yana kuja.
 
Karuhusu maandamano ya hivi

1.jpg
 
ameonyesha hana wasiwasi na u david cameroon unaotunyemelea..
 
Uongozi wake kwangu hauna utofauti na msimu aliokua nao Moyes ndani ya #MU
 
Uongozi wake kwangu hauna utofauti na msimu aliokua nao Moyes ndani ya #MU

Ameshindwa kuilinda katiba kwa kunyofoa mambo muhimu ya muungano katika katiba na kuwa dhaifu kwa kusingizia bila serekali 3 nchi itatawaliwa na jeshi akifikiri watu watu ni wajinga au wanahofu kitu au mtu
 
Asie fadhila hafadhiliki.binafsi kitu muhimu ni kuweka mitandao ya barabara katka mikoa isiyo fikika,ujenzi wa chuo Kikuu cha dodoma ambacho kimeondoa ukiritimba.
 
Naomba kuuliza katika utawala wa JK ni mema gani tutakayomkumbuka
Kwani akiwa madarakani kumeibuka mengi ya kukera wananchi
1. Richmond
2. EPA
3. Sembe ndio limelizidi kupanda chat na hakuna aliyekamatwa akashtakiwa mpaka na wala kuteketezwa kama wanavyotekeza vipodozi( Mwakyembe atupe ripoti kwani alisema kuwa keshafatilia kesi zote za sembe tutapewa majibu kimya mpaka leo
4. Nilimsikia JK akihojiwa na BBC Swahili kuhusu pembe za ndovu akasema watu wanaofanya biashara wanafahamika lakini hakutaka kuwasema, muda ukifika atawasema nina wasiwasi itapotezewa mpaka atakapotoka madarakani, wanaojua mengine watiririke

Hana mema ya kukumbukwa nayo zaidi ya usanii anao tufanyia na kualika was.enge na wabwia unga Ikulu kufuturu naye huku akicheza bongo fleva na kanga moko live.
 
[Asie fadhila hafadhiliki.binafsi kitu muhimu ni kuweka mitandao ya barabara katka mikoa isiyo fikika,ujenzi wa chuo Kikuu cha dodoma ambacho kimeondoa ukiritimba.]

kaka Kaluz, chuo kikuu cha dodoma sie yeye kilianza enzi za mkapa yeye kamalizia tu, basi untaka kusema hata daraja la mto rufiji nalo kajenga yeye, ule ni muendelezo aliouacha mkapa yeye kaja kumalizia tu, na hata asingekuwepo wahisani wangemalizia kwani sio kodi yetu ni pesa ya wahisani
 
Back
Top Bottom