Nimesoma hizo comments na hizo comments hazikuandikwa na Wazungu. Hizo comment zimeandikwa na Wakenya na WTZ. Kiingereza kilichotumika ktk hizo comments ni cha KIAFRIKA zaidi.
Jamani, acheni propaganda za kijinga.
we are so lost by having him as our president... i hope the next president will clear his mess. god bless Tanzania
Hivi kuna nchi isiyo omba omba? nitajie hiyo nchi. Ebu acheni ubishi wa kijinga. JK kazungumza point ambazo hata Brown mwenyewe alikuwa anagree.
Brown ndio nani tena ! au ni bobby brown?Hivi kuna nchi isiyo omba omba? nitajie hiyo nchi. Ebu acheni ubishi wa kijinga. JK kazungumza point ambazo hata Brown mwenyewe alikuwa anagree.
Huyu jamaa ni janga kweli kweli. Ila nadhani suruhu ni bunge letu kuweka ban mambo ya rais wetu kutembeza bakuri na badala yake nchi iendeshwe kwa makusanyo yake kama baadhi ya nchi za Afrika zinavyofanya. Kimsingi fedha za misaada hazina tija ya moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida na badala yake serikali inajiona inayo pesa ya kutosha kufanya mambo ya anasa kama kununulia mashangingi na kujipandishia posho.Tatizo siyo JK. Ni mtandao mzima wa chukua chako mapema. Hawafikiri lolote la maana zaidi ya kuiba na kupita na kutangaza nchi ni maskini. Hata ungemweka nani ndani ya mtandao huu wa xcm hautakuta mabadiliko kwani ukitaka kuleta mabadiliko tu wanakuzuia kwani utablock kula yao na watoto wao. JK kweli ni janga la kidunia lakini wabonfo wenzangu tunayataka haya kwa kuendekeza umwenzetu. Hafai, piga chini, basi! Utashangaa hata humu jf kuna watu bado wana ibada za zidumu fikra. Mnadhani kwa njia hiyo mtaaona jua? Wanajipanga tena ili wachukue uongozi kwa ajili ya kulinda walichoiba. Subirini muone
Magazeti ya hapa nyumbani yanaongoza kwa kucopy and paste habari za humu JF inakuwaje wanashindwa kucopy hii habari ili wananchi wake wajue alivyo ***** si sisi tu tunaomdharau lakin huko duniani hali ni mbaya zaidi. Ni kiongozi asiyefikiri mimi mtazamo wangu hata dini yake inachangia coz Muslim in most case ni beggers muda mwoingi they not working hard.
I advice tusije chagua kiongozi wa type ya Jk coz tutakuja uzwa hivi hivi nafikiri tunatakiwa kuamka sasa. Tumedharilishwa tuseme imetosha.
Dr slaa alisema kumchagua Kikwete ni janga la kitaifa tulifikiri anakosea now i believed it.
Mupirocin
Hivi ni utafiti gani ulioufanya na kuonyesha kuwa Muslims ni beggers, hao omba omba wote unaowaona mjini ni Muslims?? Acha upumbavu wewe!!
Halafu mkitukanwa kwa kuitwa majina machafu mnakasirika.. sikuona kabisa sababu ya kutukana dini ya watu wengine hapa!!
vipi ukisema hatuna rais?dah siku hizi ni aibu hata kusema unatoka tz maana utaambiwa ni huko mna rais wenu ombaomba
Tatizo siyo JK. Ni mtandao mzima wa chukua chako mapema. Hawafikiri lolote la maana zaidi ya kuiba na kupita na kutangaza nchi ni maskini. Hata ungemweka nani ndani ya mtandao huu wa xcm hautakuta mabadiliko kwani ukitaka kuleta mabadiliko tu wanakuzuia kwani :eyebrows:utablock kula yao na watoto wao. JK kweli ni janga la kidunia lakini wabonfo wenzangu tunayataka haya kwa kuendekeza umwenzetu. Hafai, piga chini, basi! Utashangaa hata humu jf kuna watu bado wana ibada za zidumu fikra. Mnadhani kwa njia hiyo mtaaona jua? Wanajipanga tena ili wachukue uongozi kwa ajili ya kulinda walichoiba. Subirini muone
wakulu ni bora kupitia topic zingine kabla ya kuanzisha topic mpya...... Nasema hivi kwa sababu mada hii nimeisoma zaidi ya mara mbili...