Utata waibuka UKAWA

mbowe anapenda sana wakamate madaraka ili mambo yamnyokee,atafanya lolote ndoto yake itimie
 
Inaonyesha ni la zamani hili maana kuna article inaonyesha Nyalandu na Makongoro kuchukua fomu ya kugombea urais
 
mhuuuu haka kamewashika au Ndio maana hata campaign wameshindwa kufanya?????
 
Kapi tokea lini akawafamu mambo. Wewe endelea kupiga makele kama lofa.

Kumbuka wakati wakupiga kura hawaangalii kama hili kapi au la, kura zote zitahesabika,
 
Kwa style hii CCM madarakani miaka 50 ijayo labda wafanye factory setting ya chama cha ukawa kwa mana hakieleweki..kila baada ya muda kinaongezwa nguvu inamana hakijiwezi..jipangeni upya ili mumkalishe Tembo CCM baada ya miaka 50 mbele
 
Kuumwa ni ushahidi kwamba unaishi
Ikulu si ya wagonjwa.


RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI HAKAMATIKI. JANA ALIKUWA KATAVI NA HII NDIYO NGOMA AMBAYO INAMFANYA LOWASA ANACHANGANYIKIWA. FAMILIA YAKE INALALAMIKA KUWA HAPATI USINGIZI WA KUTOSHA NA JANA ALIJIKUTA ANAKWENDA KUPANDA DALADALA ETI KUFAHAMU SHIDA ZA WANANCHI. HATA MJUKUU WAKE ANAMSHANGAA. KULE MBAGALA ALIKOKWENDA SI MBALI NA MWEMBE YANGA AMBAKO ALISIMIKWA KATI YA MAFISADI PAPA KUMI WALIOFILISI NCHI HII NA MHESHIMIWA DR. WILBROAD SLAA. NI DHAHIRI LOWASA ATAZIMIA KWA SABABU AMECHUKUC FEDHA ZA MAKAMPUNI, MAKANISA YA KINA GWAJIMA NA MARAFIKI ZAKE WENGI WAKIDHANI ATAKUWA RAIS. LAKINI NIKIANGALIA NYUSO ZA WATANZANIA NI DHAHIRI ATAPATA KURA ZA WAVULANA NA MATEJA. HATA WATU WA KASKAZINI WAMEANZA KUMKATAA KWA SABABU WANA JITAMBUA NA HAWAKUBALIANI NA SERA ZA CHAMA CHAKE KUIGAWA TANZANIA KWA U ARUSHA NA U KILIMANJARO AU U PROTESTANT. YEYOTE ANAYETAFUTA MTAJI WA SIASA KWA NAMNA HII NI MPUMBAVU ----- NA LOFA LISILOITAKIA MEMA NCHI HII. LITALETA VITA LAKINI TUTALISHINDA TU. KAMA TULIMPIGA NDULI IDD AMINI ITAKUWA HAWA BLUEBUARG??

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…