Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

Hawa waandishi ni vtuko hapo kwa mama zari kuondoa utata kwani yeye ni DNA na walijuaje kafurahi.

Akinamama wanauwezo wa kutambua bila kutumia VinaSaba...usijaribu kumuuzia mmewako mbuzi kwenye gunia..mama mkwe atakuumbua mchana kweupe!!
 
Hapanaaa
Maanake huyo simsin huwa anawagwaya watu fulani...
Sasa leo kajichanganya afu kakuta mwenzie ameokoka.

Ahaaaaaaaaa.....hapo nimekupata.
aiseeee.
Ana vinyege mshindo kumbe huyo samsung galaxy
 
Diamond atakua pharl@ sana. Kwa hli hasameheki hata kdogo.
 
Basi huyo mwanamke ni changudoa, sasa kama wanaume watatu wanagombania mtoto! Cheche hili
 
Akinamama wanauwezo wa kutambua bila kutumia VinaSaba...usijaribu kumuuzia mmewako mbuzi kwenye gunia..mama mkwe atakuumbua mchana kweupe!!
Labda kwa kuangalia vidole vya miguu hivi hivi akiwa mchanga ni ngumu kutambua mpaka akue.
 
nimepanda bei sijibu mtu mpaka nijisikieeeee �� warumi nimekumisooooooooo

Akii hujastaafugu umbea binamu??? Mwaka huu lazima tulale segerea akiii...yan nimekumis mpaka bhasiiiii....ila ebu mtoe huyo kikongwe kwa profile si bora umuweke kingwendu tu, hiv bibamu yako chige na lusungo wapo??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…