JOSEPH SAANANE
Member
- Nov 23, 2011
- 12
- 3
11,000=kumi na moja elfu
10,001=kumi elfu na moja
kumi sifuri mbili moja mwisho nimepatia au?
Hebu nisaidie hii, kama unajua Kiswahili..........
Ikiwa hii 11,000 = elfu kumi na moja.
Jee, hii ngapi 10,001
Nisaidie mtu wangu.
Hebu nisaidie hii, kama unajua Kiswahili..........
Ikiwa hii 11,000 = elfu kumi na moja.
Jee, hii ngapi 10,001
Nisaidie mtu wangu.
Kumi elfu na shilingi moja tu!!