Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

....mmmm, Mkuu twende pole pole na hizi ' Conspirators Ideas' zetu!
Kuachiwa huru kwa Babu Sega na wanawe kunahusika vipi na kuuawa wa Makamanda wetu 40 huko DRC????
Mh, hebu tudadavulie kwa undani hata km ni kwa kutumia codes, yaonekana umeibua mzizi mwingine
 
Mambo yaliyo tokea kwa Marehemu hakika ni vigumu sana kuja kufutika kwa haraka katika fikra na kumbukumbu za former sponsor's personal doctor ilikua siku mbaya saana hali ilipoanza kubadilika najua hawezi kusema chochote Ila ipo siku atawasimulia wajukuu zake safari za kutoka Ferry mpka kwa Emilio ilionekana kama ni safari ya kwenda Dar to Mwanza tena kupitia Sekenke ya enzi hizo kwanza mabishano na vikao vya hapa na pale juu ya nini kifanyike ilikua siku mbaya sana kwa mtaalamu huyu najua mpaka sasa ingawaje yupo leave but hayupo vizuri vijana wa St Peters ni wabishi sana Ila walijitoa maisha yao kumuokoa Sponsor .

Pole sana Mama Janeth na familia kwa ujumla .
 
Kwamba personal doctor alitaka former sponsor apelekwe abroad ila vijana wa Mtakatifu Petero wakagoma?
 
Pole kwetu Sote.

Tukimaliza kuzika Turudi mjini kwanza. Vikao vitakuwa vingi mara dufu.

Naona karata za 2025 zinachezwa sasa hivi. Yule kijana mpole aliyezuru Congo December 2017, naona atazibiwa njia. Huu msiba umechezesha meza yake ya vinywaji na inaweza kuwa ndio imetoka hiyo.
 
What happened mkuu?
 
kaka leta uzi huo vijana tule popcorn
 
Naam Mkuu tupe codes kilichojiri Tuhangaike nazo
 
Dr. Hakutarajia, Vijana wa St.Peters kama walibishana inawezekana maamuzi sahihi yalichelewa kuchukuliwa kwa kupoteza muda mwingi katika majadiliano
 
Siku moja uje na uzi wa msiba huu tunaozika ijumaa
 
Pole sana mama Janeth
 
Kumekucha kumekucha, mkuu tuletee hayo madini. Please support them "madini" with strong codes so that we can decode!
 
2021 tumempoteza Magufuli kwa inside job
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…