Kwa Tshesekedi hawatofanikiwa.Wakati ADF chini ya Kabila senior inamwondoa Mobutu aliungwa mkono na Rwanda. Na kwa namna hii....
Kama hawatazuiwa tutegemee Tshekedi ambaye ni kabila moja na Kabila kutimuliwa Kisha Rwanda wanaweka Kibaraka chao....kibaraka nacho kikibadilikia madarakani wanamleta mwingine.
Imeenda, Burundi na DRC wameingiza majeshi huko Goma. Sasa kama Kaingia mrundi na wasiwasi na Tanzania ataingia.Labda,
Ila Goma ishaenda mbele yake.
Tayari wamaye kibaraka alikuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, ndiye aliyemtangaza tisheshekedi mshindi zidi ya mzee wa Tp Mazembe.Wakati ADF chini ya Kabila senior inamwondoa Mobutu aliungwa mkono na Rwanda. Na kwa namna hii....
Kama hawatazuiwa tutegemee Tshekedi ambaye ni kabila moja na Kabila kutimuliwa Kisha Rwanda wanaweka Kibaraka chao....kibaraka nacho kikibadilikia madarakani wanamleta mwingine.
Huyu jamaa ni kabila gani? Anavinasaba vyovyote vya kitutsi?Tayari wamaye kibaraka alikuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, ndiye aliyemtangaza tisheshekedi mshindi zidi ya mzee wa Tp Mazembe.
Ndio anajiita kipngozi wa Afdna M23 lengo ni kinshasa.
Hii vita haituhusu hata kidogo....Imeenda, Burundi na DRC wameingiza majeshi huko Goma. Sasa kama Kaingia mrundi na wasiwasi na Tanzania ataingia.
Tanzania mgogoro unaohusu Burundi lazima aingie, na sijui Huwa ni Kwa nini. Raisi wa Burundi anasema kama KAGAME atafanikiwa huko DRC basi atakaefuata ni yeye. na Jeshi la Burundi limejengwa kwa 80% na Tanzania. Ngoja tuone itakuaje, Warundi wote watazama huko Goma. kisha Wabongo wataenda kulinda mipaka ya Burundi. Hili naamini litatokea kwa zaidi ya 90%.Hii vita haituhusu hata kidogo....
First Congo war hatukushiriki
Second war of Congo hatukushirki
Viongozi wetu wasije wakatuingiza.....kikumbwa walinde mipaka.
Rwanda kafunga GPS jamming mipakani.....
Kwamba na sisi kuna nchi tunailinda kwa hali na mali?? Kwa maslahi gani mkuu sisi sote si ni nchi choka mbaya.?Tanzania mgogoro unaohusu Burundi lazima aingie, na sijui Huwa ni Kwa nini. Raisi wa Burundi anasema kama KAGAME atafanikiwa huko DRC basi atakaefuata ni yeye. na Jeshi la Burundi limejengwa kwa 80% na Tanzania. Ngoja tuone itakuaje, Warundi wote watazama huko Goma. kisha Wabongo wataenda kulinda mipaka ya Burundi. Hili naamini litatokea kwa zaidi ya 90%.
Tanzania inajenga reli SGR kuelekea Congo kupitia Burundi (Uvinza-Gitega).Kwa namna yoyote lazima tumtumie Burundi kufanya kazi na Congo.Kwamba na sisi kuna nchi tunailinda kwa hali na mali?? Kwa maslahi gani mkuu sisi sote si ni nchi choka mbaya.?
Anhaa kumbe na sisi tunalinda maslahi yetu, kwa wachangiaji huko juu inaonekana ni ishu ya muda kidogo, hii reli si ni juzi tu, huko nyuma tulikua na maslahi gani na Burundi??Tanzania inajenga reli SGR kuelekea Congo kupitia Burundi (Uvinza-Gitega).Kwa namna yoyote lazima tumtumie Burundi kufanya kazi na Congo.
View attachment 3221864
Hii inaelekea kuwa vita ya kikanda sasa faida ya mataifa haya kuyaingiza EAC ni nini. Bora tungebaki nchi 3 hata federation ingewahi. sasa hivi limekuwa kokoro nchi zote ambazo ni security risk tukaziingiza hii hatari. ukweli kwa sasa baadhi hazina sifa tena ya kuwa kwenye EAC kwa mujibu wa Mkataba wa EAC.Tanzania mgogoro unaohusu Burundi lazima aingie, na sijui Huwa ni Kwa nini. Raisi wa Burundi anasema kama KAGAME atafanikiwa huko DRC basi atakaefuata ni yeye. na Jeshi la Burundi limejengwa kwa 80% na Tanzania. Ngoja tuone itakuaje, Warundi wote watazama huko Goma. kisha Wabongo wataenda kulinda mipaka ya Burundi. Hili naamini litatokea kwa zaidi ya 90%.