Utata UDOM & TCU!!!

Freeman Patrick

Senior Member
Jul 10, 2012
132
13
Wadau naombeni mchango wenu as gr8 thinkerz... Wakat udom wanatoa list ya wanafunzi waliochaguliwa 2012/2013 jina langu sikuliona, nikafurahi nikidhan nimebaki hapa mjini, tcu walivyo release nikashangaa nimepelekwa udom computer engineering, sasa kwenye list ya udom waliyoitoa kwenye website yao sipo ila tcu wamenipangia huko, sasa hapo inakuaje??
 
ingia kwenye web ya UDOM, fungua ALIS, kama wameshaifungua wao, ingiza jina lako na 4m4 index namba, kuna barua yako hapo. ilakama hawajakuchukua itagoma. Wapandie huko hukooo
 
ingia kwenye web ya UDOM, fungua ALIS, kama wameshaifungua wao, ingiza jina lako na 4m4 index namba, kuna barua yako hapo. ilakama hawajakuchukua itagoma. Wapandie huko hukooo

Daaa hebu ngoja namimi nitest, ila mpaka jana ilikua imefungwa
 
Okie, kwahiyo watatoa nyingine au? Maana nilidhan nimeachwa hewani.

Hata mimi mkuu imenitokea pale ardhi.wametoa majina ya waliochaguliwa lakini lakwangu sijaliona kwa upande wa pili yaani TCU wameniandikia nikuwa selected pale
 
wakuu mwenye inf kuhusu hili atusaidie maana mtu unajua umechaguliwa kumbe sivyo
 
Back
Top Bottom