Wakuuu Kama Jason hatajitokeza hadi Ijumaaa.....tuanze kuwa na mashaka kuwa huyu ndie Mpiganaji Peter Tyenyi.........
katika hali ya kawaida huyu jamaa Angesha update ziara ya Rais Singapore inayoanza Kesho......
Naomba wote tuendelee kumfuatilia isije Ikawa tumepoteza member.....
Still.....searching .......>>>>>>>>>>>
Wenye taarifa Zaidi waziwekee.....ili Kama yupo ajitokeze...
What a coincidence jamaa alipotea na kufa Muda unaoendana na wa huyu jamaa kuonekana hapa..????
Jason bourne
JF Senior Expert Member
Join Date3rd July 2011Last ActivityYesterday 04:20Avatar
Manake mimi nilidhani wanaishia kwenye polisi ya kijamii tu, kumbe mpaka huku ushirikishwaji upo?!
Mwigulu Nchemba bungeni leo:- "....cdm mnapitapita huko, mnarubuni wafanyakazi wa serikali na wa baadhi ya taasisi zake......mkidhani mnaihujumu ccm.....hatuwezi kukubali...."
Sad story,lakini inaniacha najiuliza kama afisa usalama hayuko salama mimi mwananchi wa huku tandahimba inakuaje?Mungu atusaidie
Japo inasikitisha na kuuma sana kuutoa uhai wa binadamu bila kibali cha muumba,
Lakini ukweli unabaki kuwa,
Katika idara za kijasusi duniani, vifo vya wanausalama ni jambo linalotegemewa ikiwa utaenda kinyume na miiko ya idara husika!
Unapoajiriwa katika idara kama hii kuna viapo kila unapopanda cheo,
Na mashariti ya kiapo hicho ni kifo tu!
Mkuu, hapo umenistua kweli. Ila maana chadema walikuwa wanamtumia huyu peter, mgonjwa wa akili kupata taarifa nyeti? Ila sishangai sana maana ndani ya chadema kuna watu wa design hiyo kibao wakiongozwa na tundu lisu. Ina maana kumbe maafisa wanaoripoti kwa dr slaa ni kama huyu mwenye matatizo ya akili? Kweli chadema hamnazo. Ni bora kuhangaika kujenga chama imara kuliko kuhangaika kupata taarifa nyeti kupitia kwa wwtu wenye matatiO ya akili
yaani TISS waje hapa jf kukupa maelezo kwamba mwenzao wamemuua au unataka nini waseme? Halafu hapa wajitambulishe kama nani,japo TISS kwa sasa imekuwa kama jumuiya kwenye chama tawala lakini najua hawawezi kufikia hatua ya kuingia jf na kujibu hoja au shutuma wakati wasemaji wao wapo na taratibu za utoaji taarifa naamini wanazo.