Utata-ACT Wazalendo, Zitto Adaiwa Kumpindua Mwigamba ili Achukue Nafasi Yake

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
41.jpg

Mwigamba, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameng’atuka rasmi nafasi hiyo kwa madai kuwa anaenda masomoni, anaandika Pendo Omary.

Anna Mghwira, Mwenyekiti wa chama hicho ameliambia MwanaHALISI Online kuwa, Samson Mwigamba ataanza masomo ya shahada ya Uzamili ya Biashara (MBA) katika Chuo Kikuu cha Kenyata tawi la Arusha kuanzia mwezi Mei mwaka huu.

“Kufuatia hatua hii ameomba aruhusiwe kung’atuka nafasi yake ya Katibu Mkuu wa chama. Katika kikao chake cha dharura kilichofanyika jana katika Hotel ya Kebby’s Jijini Dar es Salaam, Kamati ya Uongozi Taifa imeridhia ombi la Katibu Mkuu,” amesema Mghwira.

Mghwira amesema kufuatia hatua ya kung’atuka kwa Mwigamba, Kamati ya Uongozi ya chama hicho imeiagiza kamati ya Mafunzo na Uchaguzi ianze mchakato wa kumpata katibu mkuu mpya kwa kuzingatia katiba na kanuni za uchaguzi wa chama.

Aidha, Mwigamba amesema hatua hiyo haimzuii kushiriki katika shughuli zingine za chama atakapohitajika na akawa na muda wa kutosha.

“Mimi ni mwanachama mwanzilishi wa ACT- Wazalendo. Nikipata nafasi nitaendelea kukitumikia chama. Japo nimekuwa kiongozi wa chama katika mazingira magumu. Kuanzisha chama bila mapato inakulazimu kuchangisha watu na wakati mwingine vyama kuwekwa mifukoni mwa watu,” amesema Mwigamba.

Haya yanajiri ikiwa ni miezi takribani mitano tangu gazeti la Mawio lililofutwa na serikali kuandika juu ya uwezekano wa Mwigamba kuondolewa katika cheo hicho ili Zitto Kabwe aweze kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu kumwezesha kufanya kazi za utendaji za siku kwa siku ndani ya chama.

Iliandikwa kuwa Mkuu huyo wa chama ameandaa na kuratibu mkakati wa kumg’oa kwenye uongozi Katibu Mkuu, Mwigamba.

Taarifa zilisema kuwa Zitto anampindua Mwigamba ili achukue wadhifa huo, baada ya kubaini cheo cha kiongozi mkuu wa chama, hakina nguvu kiutendaji.

Vyanzo vyetu ndani ya ACT Wazalendo viliarifu kuwa kama mkakati huo ungefanikiwa Zitto angekuwa katibu mkuu, nafasi yake ya “ukuu wa chama” atapewa Mghwira.

Taarifa zilizoandikwa na Mawio zilidai kuwa kuwa mkakati huo ulianza katikati ya Septemba 2015 na ulipaswa kukamilika ndani ya miezi minne.

Waliopewa jukumu la kusimamia mradi huo wametakiwa kuukamilisha “mapema,” ikiwezekana na uwe tayari ifikapo Januari 2016.

Zitto alitajwa kuandaa na kuratibu mkakati huo, baada ya kubaini nafasi yake ndani ya chama (kiongozi mkuu) ambayo kazi yake ni kueneza sera na kutoa ushauri ndani ya chama, haina nguvu kama nafasi aliyonayo Mwigamba ya ukatibu mkuu.

Katibu Mkuu ndiye msimamizi mkuu wa utendaji siku katika chama.

Licha ya kutowekwa wazi, vyanzo vya taarifa viliarifu kuwa zitto akiwa Katibu Mkuu ataweza kuhusika moja kwa moja na fedha za ruzuku ambazo chama kingepata kama kingekuwa na sifa ya kupewa fedha hizo kutoka serikalini kulingana na matokeo ya uchaguzi mkuu
Source: Mwanahalisionline.com
 
View attachment 341562

umbeya mtupu, hii ndiyokazi iliyobaki kwa mwanahalisi.
 
ACT wazalendo waliweka mfumo mzuri wa uongozi ambao kwa umri wa Chama chenyewe siyo practical. Kwa Vyama matured politically and economically this system can work. ACT Wazalendo kwa umri wake kisiasa, kinamhitaji kila mtu ashiriki in fully kwenye shughuli za Chama. Nahisi wangekuwa na Mwenyekeiti, Makamu Mwenyekiti, Katinu na Mweka Hazina
 
nimeanza kushituka kuwa kubenea na Zitto wanajuana. haiwezekani kila habari hata kama haina mashiko imhusishe Zitto. yaelekea lao moja hawa.
 
View attachment 341562
Mwigamba, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameng’atuka rasmi nafasi hiyo kwa madai kuwa anaenda masomoni, anaandika Pendo Omary.

Anna Mghwira, Mwenyekiti wa chama hicho ameliambia MwanaHALISI Online kuwa, Samson Mwigamba ataanza masomo ya shahada ya Uzamili ya Biashara (MBA) katika Chuo Kikuu cha Kenyata tawi la Arusha kuanzia mwezi Mei mwaka huu.

“Kufuatia hatua hii ameomba aruhusiwe kung’atuka nafasi yake ya Katibu Mkuu wa chama. Katika kikao chake cha dharura kilichofanyika jana katika Hotel ya Kebby’s Jijini Dar es Salaam, Kamati ya Uongozi Taifa imeridhia ombi la Katibu Mkuu,” amesema Mghwira.

Mghwira amesema kufuatia hatua ya kung’atuka kwa Mwigamba, Kamati ya Uongozi ya chama hicho imeiagiza kamati ya Mafunzo na Uchaguzi ianze mchakato wa kumpata katibu mkuu mpya kwa kuzingatia katiba na kanuni za uchaguzi wa chama.

Aidha, Mwigamba amesema hatua hiyo haimzuii kushiriki katika shughuli zingine za chama atakapohitajika na akawa na muda wa kutosha.

“Mimi ni mwanachama mwanzilishi wa ACT- Wazalendo. Nikipata nafasi nitaendelea kukitumikia chama. Japo nimekuwa kiongozi wa chama katika mazingira magumu. Kuanzisha chama bila mapato inakulazimu kuchangisha watu na wakati mwingine vyama kuwekwa mifukoni mwa watu,” amesema Mwigamba.

Haya yanajiri ikiwa ni miezi takribani mitano tangu gazeti la Mawio lililofutwa na serikali kuandika juu ya uwezekano wa Mwigamba kuondolewa katika cheo hicho ili Zitto Kabwe aweze kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu kumwezesha kufanya kazi za utendaji za siku kwa siku ndani ya chama.

Iliandikwa kuwa Mkuu huyo wa chama ameandaa na kuratibu mkakati wa kumg’oa kwenye uongozi Katibu Mkuu, Mwigamba.

Taarifa zilisema kuwa Zitto anampindua Mwigamba ili achukue wadhifa huo, baada ya kubaini cheo cha kiongozi mkuu wa chama, hakina nguvu kiutendaji.

Vyanzo vyetu ndani ya ACT Wazalendo viliarifu kuwa kama mkakati huo ungefanikiwa Zitto angekuwa katibu mkuu, nafasi yake ya “ukuu wa chama” atapewa Mghwira.

Taarifa zilizoandikwa na Mawio zilidai kuwa kuwa mkakati huo ulianza katikati ya Septemba 2015 na ulipaswa kukamilika ndani ya miezi minne.

Waliopewa jukumu la kusimamia mradi huo wametakiwa kuukamilisha “mapema,” ikiwezekana na uwe tayari ifikapo Januari 2016.

Zitto alitajwa kuandaa na kuratibu mkakati huo, baada ya kubaini nafasi yake ndani ya chama (kiongozi mkuu) ambayo kazi yake ni kueneza sera na kutoa ushauri ndani ya chama, haina nguvu kama nafasi aliyonayo Mwigamba ya ukatibu mkuu.

Katibu Mkuu ndiye msimamizi mkuu wa utendaji siku katika chama.

Licha ya kutowekwa wazi, vyanzo vya taarifa viliarifu kuwa zitto akiwa Katibu Mkuu ataweza kuhusika moja kwa moja na fedha za ruzuku ambazo chama kingepata kama kingekuwa na sifa ya kupewa fedha hizo kutoka serikalini kulingana na matokeo ya uchaguzi mkuu
Source: Mwanahalisionline.com
Yaani CHAGGADEMA bado tu mnamsakama Baba Watoto wenu ZITTO?
 
Kumbe katibu mkuu kaenda Nairobi ya Arusha, nilidhani ya Kenya. Mkuu wa chama yuko Havard nae anasoma.
 
Ha ha ha, utatumbuliwa wewe!
Luna sehemu haziguswi, ukigusa kuna watu humu JF utadhani wamechezewa koro/dani zao jinsi watakavyokuja juu
sasa mjomba bila kuunga mkono hotel za kizalendo zitaendelea kweli ?
 
Nini sasa hii?upi niukweli Mwigamba anang'atuka kwa sababu zake binafsi na kuthibitishwa ,kupewa baraka na uongozi au zako wewe kuwa Zittobanamfanyia hiyana amtoe?
 
Back
Top Bottom