Utaratibu wa kuwa na Bodi.

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,987
4,725
Ni ukweli usiopingika kuwa uwepo wa bodi za mashirika na taasisi mbalimbali nchini haujawezesha usimamizi bora wa mashirika.na taasisi hizo. Jambo ambalo limesababisha Rais Magufuli kuzifuta baadhi ya bodi hizo.

Nachotaka ku tafakari. Je kushindwa kwa bodi kufanya kazi ipasavyo ni tatizo la TOR zao? Au ni udhaifu wa wajumbe wa bodi hizo. Je majukumu ya bodi hizo yanaweza kuruhusu bodi kusimamia kikamilifu mashirika na taasisi husika? Je hakuna mfumo mwingine wa kuweza kusimamia mashirika ni lazima kuwe na Bodi? Na je kama bodi ni lazima ni yapi yanatakiwa kuwa majukumu ya bodi hizo.

Kama bodi haziepukiki, je ni mfumo upi unapaswa kutumiwa ili kuwapata watu makini wa kuwekwa kwenye hizi bodi mbalimbali?
 
Bodi kama ya TRA ilikuwa inateua watendaji
halafu Magufuli kamfukuza kamishna wa TRA huku bodi hajaivunja
 
Back
Top Bottom