Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
... bombadier itatutosha kweli? Labda kama kwa msafara otherwise dreamliner ingekuwa safi.Bombardier imeshaanza safari kuelekea Madagascar?
Jamn watanzania tuache ujuaji mwingi.. nauzoefu kidogo na hili jambo. Suspect wote niliofanikiwa kuwanao wote wamepimwa na vipimo viliporudi wa positive wakaendelea na taratibu zinazostahili wale walio negative homeKipi kibaya hapo
Mbona huyo mchoro unajiekeza wenyewe na unHivi ndivyo serikali inavyocheza na moto!
👉Suspects wote wenye mild symptoms HAWAPIMWI 🦠badala yake watatibiwa hizo symptoms na kurudi home
👉moderate to severe watatibiwa then wasipoonyesha dalili yoyote kwa siku 3 wataruhusiwa kwenda home
👉wamesahau asymptomatic!
View attachment 1439510
Sijaona mkanganyiko wowote wa wewe kudai Serikali inachezea moto. Mchoro huo ukifuatwa inavyotakiwa una maelekezo ya kiafya yanayojitosheleza. Isitoshe aliyepimwa naamini anajitambua kuwa usalama wa maisha yake yako mikononi mwake.Hivi ndivyo serikali inavyocheza na moto!
👉Suspects wote wenye mild symptoms HAWAPIMWI 🦠badala yake watatibiwa hizo symptoms na kurudi home
👉moderate to severe watatibiwa then wasipoonyesha dalili yoyote kwa siku 3 wataruhusiwa kwenda home
👉wamesahau asymptomatic!
View attachment 1439510
Mpangaji wa chumba kimoja mwenye familia atajitengaje awapo nyumbani kwake? Mild case ni zipi? Mimi sina dalili yoyote ila natamani kufahamu kama nina maambukizi au la. Sababu ya kutakuwa kujua ni kuwa kuna mdogo wa rafiki yangu alibanwa katika upumuaji na ndani ya masaa manne akawa amefariki; hakuwa na dalili zozote za CORONAHivi ndivyo serikali inavyocheza na moto!