Utaratibu wa kumiliki na kuendesha biashara ya Bonanza

Tripitaka

Senior Member
Nov 30, 2019
166
302
Habari wakuu!

Niende kwenye mada kabisa, mimi nauliza utaratibu wa kumiliki na kuendesha biashara ya Bonanza Slot Machines kama haya ya wachina utaratibu wake upoje kwa yeyote anayemfaham ?

Karibu sana kwa mchango wako.
 
Mada muhimu watu hawachangii kabisa ebwana mm pia nataka kujua utaratibu wa kulimiliki hili bonanza machine vibali inakuaje?
 
Back
Top Bottom