timeline
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 458
- 2,404
Wadau,
Huu utaratibu wa kutoka kwa mabasi stendi kuu ya Ubungo ni mbovu sana.
Mabasi yanayotakiwa kutoka saa 12 bado yapo ndani kwa sababu ya foleni. Hii foleni ya ndani ya kituo, mabasi yanapakia abiria kwenye barabara ya kutokea mabasi.
Askari wa barabarani, wanaangalia tu bila kujali. Au tunahitaji mkandarasi wa kutoa huduma ya kupanga magari?
Madereva onyesheni ustaarabu , au ni mazoea ya kufanya mambo bila ustaarabu?!
Na nyinyi askari wa usalama barabarani fanyeni kazi yenu au mpaka Rais atoe tamko?!