Askari akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga. Ila huyo raia aliyevaa magwanda ya chama sijui amepata wapi authority ya kupiga saluti ya kiaskari. Akifanya tena, hebu mlete kwangu haraka sana nimfunze nidhamu. Sawa?
hata raia wa kawaida anaruhusiwa kupiga salute.
Sasa,kama ndo ivyo,kuna uhusiano gani kuipigia maiti salute?Jst a respect or what?Naic ktk mazingra ya kidini,sala fupi,ishara ya msalaba,dua n.k.vinaweza kuwa valued rather than salute.Au?
Salute ni salamu kwa hiyo askari wakivaa uniform hutoa salamu kwa njia ya salute na askari ni nani ni mtu yeyote anayefanya kazi za kiaskari kwa wakati huo awe mlinzi wa kampuni au mgambo ni askari kwa hiyo kamanda sugu naye kwa kuwa na mwonekano wa kiaskari alikuwa sahihi kutoa heshima/salamu za mwisho kwa njia ya salute
1. A salute is a gesture or other action used to display respect.
2. Salutes are primarily
associated with armed forces, but other organizations and
civil people also use salutes.
3. methods of performing
salutes, using hand gestures, cannon or rifle shots, hoisting of flags, removal of headgear, or other means of showing
respect or deference.
Ninavyofahamu, saluti askari anatakiwa kumpigia mkubwa wake tu, na yeye ataipokea kwa saluti kama yuko na uniform na kofia, vinginevyo atatakiwa kuipokea saluti hiyo kwa kukakamaa tu. Hii ya igp na geneza la kanumba sijui kwa kweli.