Vyuo vinatumia scale tofauti.
Vipo ambavyo GPA inaishia 4 vingine 4.3, 4.5, 5. Sasa inategemea umeona chuo kipi. Hapo inabidi u-convert tu kutoka scale moja au nyingine.
Ndiyo maana GPA hua wanaandika mfano 3.5/4.3. Ni sawa na marks za kawaida, mitihani mingine inafika 100, mingine marks mwisho 50, au hata 30, sasa mtu akipata 30/30 si utampa A?
Hehehe mtanzania mbona kitu rahisi sana kinakuchanganya.