Utapeli wa kazi shantamining gold Songea

Utapeli wa kazi shantamining gold Songea

siligiye

Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Ndugu zangu habari ya weekend.

Kuna watu walitangaza kazi za mgodini mgodi wa shantamining Songea na tangazo hilo nililiona Njombe nami pia nikaomba kazi. Leo wamenipigia simu kwamba niwatumie laki moja na nusu (150,000) kama ada ya kujibiwa sasa sikuelewa kujibiwa nini. Nilipoendelea kuwahoji wakakata simu. Hivyo kwa wale wote mloomba kazi mjihadhari na hao mataperi na ikiwezekana tushirikiane kuwaripoti kwenye vyombo vya usalama.
 
Bahati yako umewastukia mapema kabla ya kuumia.
 
Hakuna kazi utakayopata kihalali ambayo utatakwa kutoa pesa Tanzania... Unless huna vigezo vya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom