Utapeli wa 'Kamata Mpunga' ya Vodacom

Kazi ipi........ labda sema kunywa mataputapu
Aliwazalo mjinga................................vijana jifikirieni ukiambiwa utashinda million moja weka laki moja hamjifirii ZILE BIASHARA

KANYWE POMBE YAKO maana ukiongea na mlevi................
 
halafu wanaushawishi eti,HII SIYAKUKOSA...au MWENYE NAMBA...imechaguliwa kushiriki kwenye droo,wajinga huwa wanadhani wametumiwa wao tu kumbe wanazituma kwa kila mtu
 
Hata ndoa huvunjika sembuse uteja wa vodacom?
 

VODACOM waliniibia pesa toka june hadi leo wanadai ni matatizo ya system!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…