UTAPELI TIGO PESA/MPESA

UTAPELI TIGO PESA/MPESA

Joined
Feb 4, 2017
Posts
23
Reaction score
23
UTAPELI KUPITIA TIGO/MPESA
hivi ni kweli serikali haiwezi kudhibiti hili?hivi ni kweli MTU hawezi kuripoti namba iliyomfanyia utapeli ikazuwiwa?au tatizo wananchi hawajuwi jinsi ya kufanya?na kwa nini tigo/mpesa haandiki wakala wa kuchukulia wa pesa
 
Hujaeleweka.
Lakini inakuwaje hadi unatapeliwa.
 
Serikali haiwezi kabisa kuzuia wewe kutapeliwa kwasababu ndio uko wa akili yako ulipoishia yaani una Low IQ.
 
UTAPELI KUPITIA TIGO/MPESA
hivi ni kweli serikali haiwezi kudhibiti hili?hivi ni kweli MTU hawezi kuripoti namba iliyomfanyia utapeli ikazuwiwa?au tatizo wananchi hawajuwi jinsi ya kufanya?na kwa nini tigo/mpesa haandiki wakala wa kuchukulia wa pesa
Hawa jamaa Mimi hua siwalewi kuna jamaa mmoja alinipigia akataka kunitapeli kiujanja ujanja
Nika wapigia vodacom namba 100
Wakaanza kuleta longo longo wala hakuna msaada wowote walio nisaidia
Ila nashukuru sikutapeliwa
 
Serikali haiwezi kabisa kuzuia wewe kutapeliwa kwasababu ndio uko wa akili yako ulipoishia yaani una Low IQ.
Nashukuru mungu sijatapeliwa lkn ninaposikia kitu kama hiki najiuliza hakuna mfumo wa kuripoti polisi kitu kama hiki?au tigo,Voda nk?
 
Unatapeliwa kivipi wakati hawajui namba ya siri,hapo mzembe yupi kati ya wamiliki wa mtandao au ulietapeliwa.

Back
Top Bottom