Benylin
Member
- Feb 9, 2017
- 44
- 26
Wadau hawa jamaa walijulikana kwa jina la Taxify, na walikua wakitoa huduma za usafiri kama ilivo Uber. jamaa wakabadili jina na saiv wanajiita "Bolt" wanafanya utapeli mkubwa kwenye trip zao, wakisingizia tatizo la GPS. Mfano kutoka Mwananchi kwenda Kairuki , ni umbali wa Km 11,ila chek hii receipt yao inasema ni 37Kms, na bei 17,000/=