Utapeli kwa mitandao ya simu umezidi

Hata wao pia sms za aina hii zinawafikia sana...

Ila kwa sasa siyo kipaumbele chao kushugulikia ndiyo maana unawaona kimya...


Cc: mahondaw
 
tcra ni kama chombo cha chama wanataka wapinzani wawakosoe wananchi ndio kiwajibike ILA kwenye mishe kama hzo wanakaa pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…