Fredinho JF-Expert Member Joined May 18, 2016 Posts 971 Reaction score 1,161 Aug 8, 2016 #1 Umelala usiku huku ukiwaza shida na matatizo kibao yanayokuzunguka ,halafu ghafla malaika Gabrieli anakutokea na kukuambia 'ndugu shida zako zimesikiwa sasa omba mambo matatu unayopenda nikufanyie maishani' utaomba nini?
Umelala usiku huku ukiwaza shida na matatizo kibao yanayokuzunguka ,halafu ghafla malaika Gabrieli anakutokea na kukuambia 'ndugu shida zako zimesikiwa sasa omba mambo matatu unayopenda nikufanyie maishani' utaomba nini?
SHOOyaKIBABE JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,718 Aug 8, 2016 #2 Hekima, Hekima na Hekima
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Aug 8, 2016 #3 Anipe uwezo wa kutoa hela ATM bila kadi. Niwe na uwezo kama wa deadpool,superman na spider kwa pamoja. Niishi milele. NOTE:akitokea lakini.
Anipe uwezo wa kutoa hela ATM bila kadi. Niwe na uwezo kama wa deadpool,superman na spider kwa pamoja. Niishi milele. NOTE:akitokea lakini.
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,971 Aug 8, 2016 #4 Chezea mzee Magufuli wewe,hadi watu wamewaza visivyowezekana.
Fredinho JF-Expert Member Joined May 18, 2016 Posts 971 Reaction score 1,161 Aug 8, 2016 Thread starter #5 SHOOyaKIBABE said: Hekima, Hekima na Hekima Click to expand... Naona umeirudia kama Elimu,Elimu,Elimu.
SHOOyaKIBABE said: Hekima, Hekima na Hekima Click to expand... Naona umeirudia kama Elimu,Elimu,Elimu.
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,144 Reaction score 3,338 Aug 8, 2016 #6 thread ya BLUE MONDAY! hii kweli ni Great Thinking.
Password JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 777 Reaction score 1,086 Aug 8, 2016 #7 Kwanza nitaomba akili Pili nitaomba nusijue kutenda dhambi Tatu nitaomba awe anapita kila siku ili niwe vitu vitatu tena
Kwanza nitaomba akili Pili nitaomba nusijue kutenda dhambi Tatu nitaomba awe anapita kila siku ili niwe vitu vitatu tena