Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
msambaa.
Mmakonde>>atakulisha panya ukadhani kuku wa kienyeji
Mchaga>>atakuuwa ili arithi mali
Mmasai>>ukitoka tu mwenzako anachomeka mkuki nje anaingia ndani kupiga mzigo
Mfipa>>atakuwekea limbwata uwe mume ***** hata kazini usiende
Mhaya>>atakuletea ngoma,ukiweza unamalizia vifaa vilivyobakia mnafungua bendi
Mhehe>>ukimkorofisha kidogo tu,utamkuta kajinyonga
Msambaa>>achelewi kukuomba utumie mtandao wa tigo
Mzaramo>>ikipita ngoma tu ujue siku hiyo utashinda njaa
mkurya>>atakupa murder case,maana bila kumpiga ataona humpendi
utaoa yupi?
SIJAONA WA KUOA HAPO. NAONGEZA KABILA LANGU LA KUOA
Mpare>> Anajua bajeti

wengi vicheche
Mkuu heshima mbele watu tumewekeza huko.
bora mshambaa,aahhh sorry msambaa
Mkuu wanacheat sana
Mmakonde>>atakulisha panya ukadhani kuku wa kienyeji
Mchaga>>atakuuwa ili arithi mali
Mmasai>>ukitoka tu mwenzako anachomeka mkuki nje anaingia ndani kupiga mzigo
Mfipa>>atakuwekea limbwata uwe mume ***** hata kazini usiende
Mhaya>>atakuletea ngoma,ukiweza unamalizia vifaa vilivyobakia mnafungua bendi
Mhehe>>ukimkorofisha kidogo tu,utamkuta kajinyonga
Msambaa>>achelewi kukuomba utumie mtandao wa tigo
Mzaramo>>ikipita ngoma tu ujue siku hiyo utashinda njaa
mkurya>>atakupa murder case,maana bila kumpiga ataona humpendi
utaoa yupi?
Ebu niambieni kuhusu wanyamwezi,wanyakyusa na wameru
Hakuna wanawake wanafiki kama wapare!fuatilia hata huyo uliyenae utagundua!Hahahaa, nina mchumba mpare hadi raha. Hana matumizi makubwa.