Nilikutana nae nikiwa na binamu yangu safarin kibihashara, nilishndwa kujizuia ikabid nimuulize mwenyej wa eneo lile nyumba na mtaa anakoish yule mdada. Jion yake nikaenda na bnamu kwa yule mdada na tukaishia maongez ya kawaida na kupeana no. za cm.Cku ya 2 nilisafir kurud home na kumuacha bnamu bado akiendelea na bihashara pale wilayan huku mim nikiendelea kuchat na yule mdada.Baada ya miez 3 nikaenda tena kupeleka mzgo kule wilayan na wakat huu nilifanikiwa kumuweka yule mdada kwnye hmaya yangu.mapenz ye2 yalishamir sana na 2kawa 2naelewana sana na baada ya mda mfup yule mdada akashka ujauzito.tulikubaliana kuish wote kwa cku zijazo ili 2weze kumlea mtoto vizur.
Miez miwil baada ya ujauzto nilickia tetec kuwa yule mdada alishawah kutembeamo na yule bnamu yangu kipnd kile nilipomuacha bnamu pale wilayan na mapenz ye2 mm na yule mdada hayajaanza.Niliamua kumuuliza bnamu akakataa vle vle na yule mdada akakataa., ila baada ya mwez kupta nkamuuliza tena bnamu akakubali kuw ashawah kutembea nae na hata nipomuuliza tena mpenz wangu alikataa kwa mar ya kwanz na bdae akakubar na akasema shetan alimpitia. Tatizo ni kwamba mimb sasa ina miez nane na mim nilipanga kumuoa huyu mdada ila kutokana na muingiliano kat yangu na bnamu, "i'm at the horns of dilema" nifanyeje wandugu???