Utaniowa tu, ngoja nirudi kwa babu.

Utaniowa tu, ngoja nirudi kwa babu.

Carnivora

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,650
Reaction score
6,028
Asee niaje wana. Achana na hiyo heading, soma content.

Hapa naongea na vijana wenzangu masingle boy mabachelor kama mimi. Excuse my language naandika kisela zaidi.

Vijana tuna mambo yetu. Kuna sometimes umekuta mtoto mzuri umetamani kupiga nae show ya kibabe. Ukamnyemelea kulingana na mazingira uliyokutana naye au ambayo mnakutana mara kwa mara ukapiga sound, mtoto si akaukuelewa? Hujampenda wala nini ila tu unataka kuosha rungu.

Ukaanza kujilia vyako full migegedo. Bi dada akijiangalia ana 28 inakatika 30 to thirty something na hamuoni kidume aliye serious. Wewe kwa uroho wako ndio umejitokeza kwa style hiyo hapo juu. Ulitaka kuhit and run lakini unarudia rudia. Akikucheki unafaa kuwa mume, unajitambua anaiona future yake kwako. Kidume huna dalili ya ndoa huku mtoto wa watu akijibebisha sana tu.

Kanisani keshaombewa sana hajapata mume.....omba sana asigeukie upande wa pili.

Asipojidakisha mimba basi anaenda KWA BABU. The latter being the bitter. Kaka utamuowa huyo pasipo kutarajia kudadeki. Hivi hujawahi kuona kuna mchizi wako katangaza ndoa kiajabu ajabu kwa dem usiyemtarajia. Ooh! Wengine sio akili zao.

Kuwa makini kaka, hit and run usimpeleke gheto.....usimbebishe na ukishamega sepa bila kuacha alama. Utarogwa babu. Shauri yako.

Ni hayo tu for the weekend ahead.

Meraki.
 
Plenty more nice gal out there fi slam, one million, two million
Dolly house an' stuckie a nah part a we plan
We haffi sample every nation,me sing

-Plenty More Gal "Buccaneer"
 
Plenty more nice gal out there fi slam, one million, two million
Dolly house an' stuckie a nah part a we plan
We haffi sample every nation,me sing

-Plenty More Gal "Buccaneer"
Ooh Lord dont let me cheat on my girlfriend
Cos as long as I can see she loves only me
But Lord if u cant stop me from cheating
Dont let me get caught

Am singing....Cheater's Prayer
Chris Martin
 
Mshikaj,kuna demu had leo kahamishia makazi kwangu analazmsha nmuoe,dah!an nashndwa hata nmfanyeje asee,npen mbinu wadau nmuache kiroho saf,ctak aumie moyo maana naamn ananpenda kuptlizia
 
Mshikaj,kuna demu had leo kahamishia makazi kwangu analazmsha nmuoe,dah!an nashndwa hata nmfanyeje asee,npen mbinu wadau nmuache kiroho saf,ctak aumie moyo maana naamn ananpenda kuptlizia
Jipange....ninacho kizungumzia hapa kitakukuta karibuni.
 
Mshikaj,kuna demu had leo kahamishia makazi kwangu analazmsha nmuoe,dah!an nashndwa hata nmfanyeje asee,npen mbinu wadau nmuache kiroho saf,ctak aumie moyo maana naamn ananpenda kuptlizia
We humtaki?
 
Nachek movie
tapatalk_1534526781424.gif
 
Ooh Lord dont let me cheat on my girlfriend
Cos as long as I can see she loves only me
But Lord if u cant stop me from cheating
Dont let me get caught

Am singing....Cheater's Prayer
Chris Martin
Yani hapo mtu anajitengenezea mazingira akishikwa lawama zote kwa Lord.

"Honey, but I prayed to the Lord and he did not listen.."
 
Back
Top Bottom