mandela1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 837
- 602
Wadau habari za majukumu natumai wengi mnaendelea vizuri na mishe mishe ili hali kipatikane kitu mkono uende kinywani pamoja na kuwa maisha yana mambo mengi pia hata mapenzi yanaleta uzito katika kuendeleza gurudumu la maisha lisonge ...nisiwachoshe labda tuende kwenye point
Ushauri kwa yaliyomfika huyu mwanaume mwenzetu iko ivi ..
Siku moja jamaa ilikuwa ni mida ya asubuhi kama ilivyokawaida huwa tunajiandaa na pilika za kwenda makazini na mishemishe za hapa na pale. Ni siku ambayo ilimtaka jamaa aingie kazini asubuhi sasa alihisi kuwa kachelewa ndipo alipochukua maamuzi ya kujua mda. Hapo alichukua simu ya mkewe ilikutazama muda ndipo alikutana na sms ila n ya mda kidogo takriban kama mwezi umepita . Ikisema ivi
Jamaa.... vipi ushachukua chumba ?
Mke wa jamaa ....ndio
Jamaa..sehemu gani?
Mke wa jamaa...sehemu fulani
Jamaa...nije?
Mke wa jamaa ..njoo
Na unapomuuliza anadai ni utani ni rafiki yake wa chuo huwa wanautani je kunautani wa kuitana gesti upo?
Sasa basi kama ww ndo mke wako unakuta ivo utachukua hatua gani isitoshe mnafamilia ya mtt mmoja na mmejenga wote ila bado hamjafunga ndoa ila ifahamike ukiishi na mwanamke ndani ya miezi mitatu ni mke wako kisheria je utachukua uamuzi gani ushauri wako muhimu sana

Last edited: