Historia inaonyesha kuwa Vyama vikongwe Barani Afrika vimeanguka kutokana na sababu mbalimbali hasa kukithirikwa umasikini na ukosefu wa ajira; ajira za upendeleo;kukua kwa matabaka hasimu kwenye jamii; rushwa, ufisadi,ubadhirifu na matumizi ya anasa serikalini.CHADEMA inatambua sababu kuu nne zilizosabisha nchiyetu ifike katika umaskini uliokithiri wakati inazo rasilimali zakutosha. Sababu hizo ni:
1. Ukosefu wa katiba ya wananchi ambayo ingewapamamlaka ya kuwadhibiti watawala.
2. Ukosefu wa uongozi wenye uzalendo, uadilifu na utawalabora ambao umepelekea uzembe na kutowajibika; nakukithiri kwa ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma.
3. Kufanya uchumi utumikie siasa badala ya siasa kutumikiauchumi – kupuuza ushauri wa kitaalamu katika sera,mipango na utekelezaji.
4. Ukiritimba wa Madaraka wa Chama kimoja.Viashiria vinaonyesha kwa kiasi kikubwa kuwa tayari serikaliya CCM ni dola inayoanguka. CHADEMA na UKAWAwanadhamiria kuunda serikali itakayoondoa mambo yotehayo ili kujenga upya Taifa imara kwa manufaa ya Watanzaniawote.Lengo kuu kwa ujumla katika ilani hii, ni kuhuisha uzalendo,uadilifu na uwajibikaji katika uongozi wa nchi ambao ndiomsingi mama wa kuleta maendeleo ya jamii ya Watanzania.Ili tuweze kutoka hapa tulipo tunahitaji uongozi utakaozingatiaUTANGULIZIIlani ya Uchaguzi ya CHADEMA20152yafuatayo ambayo ndiyo msingi wa ilani hii:
• Kuimarisha amani, umoja na mshikamano wa Taifa
• Kuleta Katiba ya Wananchi inayosimamia haki nausawa
• Kujenga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwamisingi ya usawa
• Kuleta fikra ya Watanzania kujiamini na kujitegemeakama Taifa huru
• Kuimarisha Uzalendo na Uadilifu
• Kujenga Uchumi shirikishi unaolenga kuondoa umaskini
• Kuimarisha Huduma za Jamii
• Kuwajengea mazingira mazuri na kuwapa kipaumbeleWalemavu katika sekta zote
• Kujenga Utendaji bora na Uwajibikaji katika sekta yaUmma
• Kujenga Ushirikiano wa karibu baina ya Serikali na sektabinafsi
• Kudumisha na kuendeleza uhuru wa mawazo, uhuruwa kutoa na kupata habari na kujumuika na watuwengine
• Ulinzi thabiti na usalama wa raia.
• Ushirikiano wa Kimataifa wenye tija na Ujirani mwema.
Ni dhamira ya CHADEMA na UKAWA kuunda serikali makini,adilifu na inayowajibika kwa umma, katika kuendeleza falsafaya CHADEMA msingi wa juhudi zote za maendeleo za uchumina kijamii zitalenga kwenye kuondoa umaskini na kuelekeakwenye taifa la uchumi wa kati na hatimaye lililoendelea.Vipaumbele wa mwelekeo huo ni kama ilivyoelezwa kwenyesura zinazofuata kwenye Ilani hii