Hivi nini kinachosababisha utando mdomoni mwa mtoto? Hii inakuwa hasa pembeni mwa mdomo pande zote mbili...ni kwa nini? naombeni msaada wenu enye kujua huu utaalam.
Natanguliza shukurani.
Pole mkuu vuta subira wajuzi pamoja na ma dr watakuja kutupa ufumbuzi. Huwa hata pia kuna baadhi ya watu wakubwa hutokewa na hali hiyo. Naungana nawe mkuu kungoja majibu mazuri ya ma dr wetu.