Mmm!!Raha huwa unasikia but siyo ile RAHA ya wewe kujihisi kama umetoroka peponi eti!so fanya hii njia nahisi utaisikia hiyo Raha unaiyotaka wewe(..) (...) (....) (.....) (.......)
Kwanza Huyo unaetaka akupe raha umemridhia na kumkubali kua huyu ndio stakaenipa raha? Au wewe unampa raha gani tamu ili akupe raha? Ni RAHA ya Moyo wangu Mimi kupendwa na wewe ....
Sasa wewe ukikutana na mwanaume ndio unataka usikie raha? Mbona watu kibao wanakutana huko barabarani, sokoni, kazini na sijawahi kusikia wakilalamika kwamba wamesikia raha au la. Sasa iweje wewe ulalamike?