hiyo hiyo unayoipata ndo ndo raha kamili....kwani nani kakuambia kuna nyingine?
Maana toka umeanza mapenzi ndo hiyo umekuwa ukiipata...sasa hiyo nyingine ni ipi?
Hajui namna ya kukufanya usikie raha, anajali dudu yake tu. Unaweza kucheza na mtu ad akasikia raha bila kupiga hata goli moja, kias kwamba ukija kupiga goli mtu anakuwa ameshaenjoy, inahitaji ufundi zaidi, pia unatakiwa kuwa muwazi kwa boy wako ajue. maelezo ni mengi kwakweli niPM. au subiri ushauri mwingine hapa