Huwa najiuliza hili swali,utamu wa mwanamke uko wapi?
ha ha ha sawa mkuuNadhani babako angekuambia nini kitamu alichokiona kwa mamako mpaka akalipa mahari na kumhamisha kwao.
ha ha ha kino maana yake nini
Ndiyo tuulize wewe upo wapi?Huwa najiuliza hili swali,utamu wa mwanamke uko wapi?
ha ha ha ha okUkosefu wa nguvu
ha ha ha ha leta majibu mkuuNdiyo tuulize wewe upo wapi?
ha ha ha ha nilijua tu lazima ujeWe mdau siku hizi umechangamka kupita kiasi
ha ha ha ha nilijua tu lazima uje
Ukikula wewe ndipo utajua utamu upo wapi, leo vipi daku?ha ha ha ha leta majibu mkuu
nipe majibu mkuuKwamba....?
nipe majibu mkuu
ha ha ha ha leo haipandi kabisa,natafuta majibu kwanzaUkikula wewe ndipo utajua utamu upo wapi, leo vipi daku?
ulizia kwa jirani basi uje uninong'onezeSijui
Nitakuja nikunong'oneze PMulizia kwa jirani basi uje uninong'oneze
ha ha ha karibuNitakuja nikunong'oneze PM
kivipi mkuu?Utamu wa mwanamke upo miguuni bro
ha ha ha ha katika haya maswala hakuna ku-grow up;hata yule mzee wa kijijini anawaza hili