Utamu wa Mjeda

Wengine washamba kidogo najua unaongelea mwanamke lakini 'mjeda' ndio nini?
 
Mimi ugonjwa wangu Traffic wa Kike, hata awe na sura mbaya kiasi gani akiwa kwenye sare zao baasi Sina nguvu kabisa. Nitamuomba Kamanda nanihiii kibali nimshonee Mke wangu sare kama ile ili nisiwaharibu traffic wa watu.
Nimeipenda akili yako mkuu!
 
Mmmmwaaaah!!

Senkyuu babuu for the morning smile that you dress on my face...... wajua kuwa ile issue yetu ya Rodizoo iligubikwa na ukuta na kupatwa na jua na sherehe za jeshi?

Sasa inakuweje?
 
Senkyuu babuu for the morning smile that you dress on my face...... wajua kuwa ile issue yetu ya Rodizoo iligubikwa na ukuta na kupatwa na jua na sherehe za jeshi?

Sasa inakuweje?
Ili kuitendea haki itabidi kupatwa kwa vikojoleo vyetu iwe kabla ya oktoba mosi... nimeambiwa hiyo siku ukuta utakutana na kupatwa kwa miti.
 
Wewe unatafuta kufa na stroke mapema ungali kijana, unajipeleka kwenye frustration ndugu. Kitu chochote kinachoitwa askari, not recommended, labda Kama Ni take away Tu.
 
Ili kuitendea haki itabidi kupatwa kwa vikojoleo vyetu iwe kabla ya oktoba mosi... nimeambiwa hiyo siku ukuta utakutana na kupatwa kwa miti.

Hahahahahahaa hapo sawa....

Wacha iwe wiki ya pili ya hii September ila isiwe September Eleven maana wamarekani hawakawii kuharibu siku yetu kwa kuadhimisha yao....

Rodizoo for kupatwa kwa Kasie na babu Asprin aka Big Sam....
 
Watu wote wapige makofi kwa maana tukio la kihistoria lililosubiriwa kwa miaka mingi... sasa litafanyika kabla Makonda hajapatwa na miti.

Siku hiyo mvua lazima inyeshe. Itake isitake.

Jiandae Kassie... Nimejiandaa kama FC Barcelona bila Messi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…