Ndugu ujumbe wako mujarabu sana lakini kama vile unamsimanga mama alokuzaa vile! Ni jukumu letu hasa sisi wanaume kuhakikisha watoto wetu tunawatimizia mahitaji yao yote ya msingi hususan elimu
upo sahihiNamshukuru Mungu wazazi wangu walijipanga. Tumezaliwa wawili tu. Ila huwa naona huruma sana kwa waliozaliwa wengi bila mpangilio, na pale wazazi wanapolalamika eti hawatunzwi. Hali ya maisha ya sasa hata mie ungesema nimtunze mzazi kwa 100% ni mtihani.
sahihi usemalo,mi yamenishinda.unabeba,unalea,unazaa...mwanaume anachokusaidia ni kutupia picha ya mtoto FB like father like a son.mxuuuw
Yote tisa, kumi mimi nataka katoto sijui kuna mdada yuko tayar tupate mtoto!?
Kuna vingine hutokea pale usipotarajia lakini tunatakiwa kushukuru
nimekoma,huyo mmoja ametoshaPole. Inatupasa kabla ya kubeba tuwe tumejipanga. Tofauti na hivyo kwa kweli ni mtihani tena hasa kwa hawa wanaume wa leo wana tabia ya kuomba kuzaliwa watoto wakati hawako tayari kutunza watoto. Usibebe tena hadi uwe na mipango inayoeleweka.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huyo anaharibu maana halisi ya baba. Baba ni majukumu sio kujichoresha facebook.sahihi usemalo,mi yamenishinda.unabeba,unalea,unazaa...mwanaume anachokusaidia ni kutupia picha ya mtoto FB like father like a son.mxuuuw
yaan sitaki tena[emoji1] [emoji1] [emoji1] huyo anaharibu maana halisi ya baba. Baba ni majukumu sio kujichoresha facebook.
sure100%Panga mikakati ya huyo mmoja. Mambo yakiwa mazuri unaongeza, kama vip mbona anakutosha tu. Usijisahau kujiwekea mipango yako uzeeni.
Kwanini?Wanawake sijui huwaza nini kichwani
Shukuru Mungu kakupa hata huyo mmoja, kuna wadada umri umeenda hawana mtoto wanahaha usiku na mchana kutafuta watoto hawawapati na duniani hakuna mtihani mzito kama mwanamke kutokuwa na mtoto hadi anazeeka. Uzazi wa mpango ni muhimu sana hata hivyonimekoma,huyo mmoja ametosha
Nalo nenoNimejisikia kwa kweli kuongelea hili. Nimesikia wengi baada ya kuwa na mahusiano na kunogewa huanza kudai watoto. Utamsikia mtu anasema Mpenzi si unizalie katoto jamani... ona tumekuwa wapenzi muda sasa! Wanawake nao anawaza looo bora nishike mimba nimzalie huyu Bwana bila ya kufikiria huyo mtoto atalelewa vipi, na yeye mwenyewe ataishi vipi kesho!!!
Acheni mawazo mgando. Nyie kama mumeamua kuwa wapenzi endeleeni tu kugegedana bila kuingiza suala la mtoto. Inapofikia unahitaji mtoto lazima ujipange unazaa na nani, lini wapi na unataka watoto wangapi kulingana hali yako na kipato chako na akiba uliyojiwekea ya kukutosha wewe na watoto wako.
Utakuta mtu hajajiwekea chochote ana kazi ya kufyatua watoto kila kona halafu uzeeni anataka utunzwe zaidi ya yeye alivyowatunza wanawe. Hakuna hiyo ... utajikuta unalia peke yako na utaishi kwa uzee wenye shida hadi kaburini. Utaishia kutoa laana ambazo hazitawakuta hao watoto kisa wamepata bahati ya kuwa na pesa kidogo lakini eti hawakujali, sana sana hizo laana zitakurudia maana utaonekana mzee kituko.
Biashara ya kuwaza kuzaa tuuu badala ya kuwaza wataishi vipi na wewe mwenyewe kesho utakula nini ishindwe na ilegeee kabisaaa. Ni dhambi kuzaa watoto usioweza kuwatunza na kuwahudumia. Hata ukiwa ndani ya ndoa, usizae bila mpangilio. Panga uzazi kulingana na hali yako.... pia sio lazima uzae.
Bahati mbaya ipo mkuu. Maisha si kukariri ni uhalisia.Unasemaje ?pate mtoto bila kujipanga eti vinatokea pale usipotarajia wakati unamwanga mbegu ulitegemea zisiote? acha hizoooo