Wadau hata iweje ni zaidi ya nusu mnaosoma hapa mmewahi kutengeneza kachumbari, ni vigumu sana kuimaliza kuitengeneza bila kuionja zen ukaiweka mezan kuisubirisha msosi, nini namaanisha sasa? mimi ni janaume la shoka jeusi ni mdogo wake madingi lakini braza wake makaka, muda sana nilikuwa kwenye mitikisiko ya kimaisha sasa nawish kuwa na rafiki, awe mpenzi afu baaadae aje kuwa mke wangu, mi sio mnafiki kwenye hizo hatua najua lazima ntaomba kumega tu, kwani pia nna tatizo la uroho sana, na possibly ndio jambo hilo la uroho lilinichelewesha hata kuoa, kwasababu nilikuwa napewa vya kwenye ndoa,sina mahela ila nina mipango ya kuja kuzikamata, wanawake wanaohitajika ni toka mikoa ya morogoro, iringa, dodoma, dar, njombe, na mbeya tu.sio kimakabila bali kiukazi,nina nia ya dhati na toka moyoni.
karibuni sana kigezo cha elimu, ni ya kawaida, dini haimati ilimradi ukubali kuja yangu tukija kukubaliana,ila ambao hawajazalishwa watapewa kipaumbele.
Kwani kaka wewe umri wako ni gani............? Mimi nipo Sumbawanga......nimekupenda kweli......na nimevutiwa na kipengele cha kuonjana kwanza......ila sasa kabla hatujaonjana.......chonde chonde.......itabidi tukanawe kwanza miguu........utaniuliza kwa nini wakati tunanawa.....sawa eeeh.......
Mmh madamex kusema ukweli ndio uroho jamani? mi namaanisha ktk hilo.Wasubiri wanakuja...wa waroho wenzio kama kwako chakula haitoshelezi lazima wakaduse kwa jirani
Duh....nimestak hata kuelewa...huna hela?muonjaji?hmmmmm ngoja nimjaribu Kongosho popote ulipo mkuu ur msaada wa kielimisho tasavali
Kwani kaka wewe umri wako ni gani............? Mimi nipo Sumbawanga......nimekupenda kweli......na nimevutiwa na kipengele cha kuonjana kwanza......ila sasa kabla hatujaonjana.......chonde chonde.......itabidi tukanawe kwanza miguu........utaniuliza kwa nini wakati tunanawa.....sawa eeeh.......
Usiogope mpendwa, nimeamua kuweka wazi udhaifu wangu, wengi wana tatizo hilo la uroho ila huwa hawapendi kujitaja, kwavile mi staki kumdanganya mtu, ndio maana nmewekawazi kwaiyo ikiwa vp ndio dosari ya kuanza kuirekebisha, kwani mi naamini mficha uchi hazai, ila narekebishika nalabda nkipewa kila sku inaweza kunikifu nikabadilika mapema,.Hahahaaaa..... Huo uroho wako umeniogopesha..!
mkuu sindo acha ushe yahaya humu jukwaaani nijifurahuyu ni dogo kabisa hakuna ubishi hapa anajifurahisha tu