Doto the don
New Member
- Nov 21, 2019
- 4
- 3
kwanza jieleze kitabia wewe ili ushairi wa kukufaa
'Future'! Binadamu tuna maisha yenye mirengo mbalimbali tofauti tofauti.Wadau nahitaji kufaham mwanamke mwenye malengo kwako niwa aina gani.
Na wakiolewa hao huwa wanatulia kweli.Oa kahaba mstaafu utafurahia hiyo future yako.