Utampataje Demu? Dating Tips

Mtoto wa Mkulima

JF-Expert Member
Apr 12, 2007
681
126
Wakubwa sasa kazi kwenu hapo kama mnaogopa mademu ushauri wa bure huu hapa.
http://www.100-dating-tips.com/
 
have some interesting news for you...

Unajua wanaume wengi huwa hawawa kojoleshi mademu wao na ndio maana mademu huchukuwa watu wengine. Hapa ni baadhi yamambo ya kufanya kabla hamjaingiliana. Enjoy.
 
DEMU.. .. silipendi hili neno.....sijui ni kiwakilishi.....sijui kivumishi. .sijui nomino yaaani sijui na silipendi
 
DEMU.. .. silipendi hili neno.....sijui ni kiwakilishi.....sijui kivumishi. .sijui nomino yaaani sijui na silipendi
Bora hata siku hizi zamani wakati ndio tunakua ilikuwa issue kweli, kwanza ilikuwa kama udhalilishwaji.
But ukweli ni kwamba linatokana na neno zuri tu “madam” so ni “dam” ambalo kwa swaga likawa “demu”
 
sio kwa swagger hio
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…