Utamjibuje mtu atakaekwambia ukweli kuwa unanuka mdomo

sepema

JF-Expert Member
Jun 13, 2019
591
1,000
Habari zenu wakuu.

Nimekutana na vurugu yahatari jioni hii. Jamaa alikuwa anatwangana makonde na mdada fulani. Mdada alikuwa mzuri wasura na umbo. Hata hivyo alionekana nimzuri kwenye mapambano yakutumia mikono yake.

Baada ya wadau kusogea karibu tukasikia mdada analalamika kwamba jamaa kamwambia ananuka mdomo.

Jamaa nae Huku akiendelea kujitetea asiumizwe sana kwani alionekana kuzidiwa nguvu na mdada, akawa anasema jamani Kama mnabisha mkaribieni karibu mtaamini nilichomwambia.

Watu waliokuwa wanamfahamu yule dada wakawa wananong'ona kwamba nikweli mdada anakaharufu fulani mdomoni.

Walichokuwa wakilalamika mashuhuda nikwamba jamaa hakutakiwa amwambie live yule dada kwani kwa wao walivyotafsiri ni tukio la udhalilishaji.

Mwisho ugomvi ule uliamuliwa na kila mmoja akapita njia yake.
Sasa wakuu tusaidiane, wewe mtu akija kwa ujasiri akakwambia ukweli kuwa unanuka mdomo utafanya Jambo gani kuonyesha kuwa ujumbe umekufikia?

Wasalaam!
 
Habari zenu wakuu....

Nimekutana na vurugu yahatari jioni hii. Jamaa alikuwa anatwangana makonde na mdada fulani. Mdada alikuwa mzuri wasura naumbo.Hata hivyo alionekana nimzuri kwenye mapambano yakutumia mikono yake.

Baada ya wadau kusogea karibu tukasikia mdada analalamika kwamba jamaa kamwambia ananuka mdomo.

Jamaa nae Huku akiendelea kujitetea asiumizwe sana kwani alionekana kuzidiwa nguvu na mdada, akawa anasema jamani Kama mnabisha mkaribieni karibu mtaamini nilichomwambia.

Watu waliokuwa wanamfahamu yule dada wakawa wananong'ona kwamba nikweli mdada anakaharufu flani mdomoni.
Walichokuwa wakilalamika mashuhuda nikwamba jamaa hakutakiwa amwambie live yule dada kwani kwa wao walivyotafsiri ni tukio la udhalilishaji.
Mwisho ugomvi ule uliamuliwa nakila mmoja akapita njia yake.
Sasa wakuu tusaidiane,wewe mtu akija kwa ujasiri akakwambia ukweli kuwa unanuka mdomo utafanya Jambo gani kuonyesha kuwa ujumbe umekufikia?
Wasalaam!
Nitamshukuru sana akiniambia coz watu wengi wanaonuka midomo uwa hawajijui kabisa. Achana na hilo kuna wadada wananuka K, ila ujasiri wa kuwambia uwa ni changamoto unakuta demu kila anaempasua anapita hivi tena bonge ya mrembo.

Achana na hii wadada uwa hawapendi kuambiwa ukweli hata ukimwambia kwa faraghani wanakuwaga mbogo; Mfano, kuna dada mmoja hivi tena alikuwa nesi msafi mzuri alikuwa rafiki yangu ila kila nikikutana nae kwa sex nilikuwa najitahidi kutumia safe sex, sasa enzi zile za viroba vya konyagi nikawa nimepiga vingi kupitiliza na kesho yake nilikuwa nasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa C nikaona kwa kuwa mpenzi anaishi town ni heri nilale kwake kusudi niwe karibu na stand ili pia nimuage vizuri, aisee kama kuagana tuliagana vizuri hakika make hata safe sex hatukukumbuka! Yaani asubuhi mapema safari ikaanza ila baada ya km masaa manne hivi dalili za ajabu zikaanza, kufika jioni hatari sana bahati mbaya basi lilikuwa ni lazima lilale mkoa B ili kesho alfajiri nipande jingine kuelekea mwisho wa safari ambao ni mkoa C, kutokana na kufika usiku mkoa B na kuandoka alfajiri nilikosa muda wa matibabu, aisee mpk nafika jioni nyingine ni mwendo wa kumwaga maziwa tena kwa maumivu makubwa.

So, nikaamkia hospital nikaambiwa hii ni mbaya unahitaji matibabu makubwa (sindano)nikaanza dozi chapchap kwa kujilaumu sana kwa starehe ya muda.

But nikaaona nifanye busara kumwambia mwenzagu ili kumnusuru yeye na kuwanusuru wengine atakaopita nao, ndugu yangu niliambulia matusi na maneno makali sana, nilikuwa mpole ila nikamtumia sms ya mwisho na kumwambia naamini ujumbe umeupata ukiendelea na ubishi utatuua wengi. Anyway baada hapo ilibidi kuchek afya kubwa nikamshukuru nipo salama.

Turudi kwenye pointi;Wanawake wengi hawapendi kuambiwa ukweli wenyewe hupenda kusifiwa hata kwa vitu vya kipumbavu but wanaume tunashaurika kirahisi na tunabadilika chapchap na uwa tunawshukuru wanaotueleza ukweli hata km ni mchungu kiasi gani

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Nitamshukuru sana akiniambia coz watu wengi wanaonuka midomo uwa hawajijui kabisa.Achana na hilo kuna wadada wananuka K, ila ujasiri wa kuwambia uwa ni changamoto unakuta demu kila anaempasua anapita hivi tena bonge ya mrembo.
Achana na hii wadada uwa hawapendi kuambiwa ukweli hata ukimwambia kwa faraghani wanakuwaga mbogo;Mfano,kuna dada mmoja hivi tena alikuwa nesi msafi mzuri alikuwa rafiki yangu ila kila nikikutana nae kwa sex nilikuwa najitahidi kutumia safe sex,sasa enzi zile za viroba vya konyagi nikawa nimepiga vingi kupitiliza na kesho yake nilikuwa nasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa C nikaona kwa kuwa mpenzi anaishi town ni heri nilale kwake kusudi niwe karibu na stand ili pia nimuage vizuri,aisee kama kuagana tuliagana vizuri hakika make hata safe sex hatukukumbuka!Yaani asubuhi mapema safari ikaanza ila baada ya km masaa manne hivi dalili za ajabu zikaanza,kufika jioni hatari sana bahati mbaya basi lilikuwa ni lazima lilale mkoa B ili kesho alfajiri nipande jingine kuelekea mwisho wa safari ambao ni mkoa C,kutokana na kufika usiku mkoa B na kuandoka alfajiri nilikosa muda wa matibabu,aisee mpk nafika jioni nyingine ni mwendo wa kumwaga maziwa tena kwa maumivu makubwa.
So,nikaamkia hospital nikaambiwa hii ni mbaya unahitaji matibabu makubwa (sindano)nikaanza dozi chapchap kwa kujilaumu sana kwa starehe ya muda.
But nikaaona nifanye busara kumwambia mwenzagu ili kumnusuru yeye na kuwanusuru wengine atakaopita nao,ndugu yangu niliambulia matusi na maneno makali sana,nilikuwa mpole ila nikamtumia sms ya mwisho na kumwambia naamini ujumbe umeupata ukiendelea na ubishi utatuua wengi.Anyway baada hapo ilibidi kuchek afya kubwa nikamshukuru nipo salama.
Turudi kwenye pointi;Wanawake wengi hawapendi kuambiwa ukweli wenyewe hupenda kusifiwa hata kwa vitu vya kipumbavu but wanaume tunashaurika kirahisi na tunabadilika chapchap na uwa tunawshukuru wanaotueleza ukweli hata km ni mchungu kiasi gani

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Naunga mukono
 
Duh. Juzi nilikua kwenye mwendo Kasi Kariakoo Kimara na mdada ananuka mdomo hatari.
Jamani wanawake hawapendezi kunuka sehemu yoyote especially mdomo na makao makuu ya chama na ya serikali.
Ila Kuna harufu Fulani ya mwanamke ambaye hajajipaka mafuta au perfume yoyote. Ile harufu Yao natural ambayo ni aphrodiasic au ukiisikia mzuka unakupanda. wanawake wengi wanaipoteza kwa manukato.
 
Back
Top Bottom