Makungu jr New Member Joined Mar 23, 2021 Posts 4 Reaction score 6 Mar 23, 2021 #1 Habari zenu wapendwa, mi ni mtu mwanaume, ni raia mwema wa Tanzania ni mgeni katika mtandao huu naomba nitambulishe uwepo wangu hapa, Ahsanteni sana!
Habari zenu wapendwa, mi ni mtu mwanaume, ni raia mwema wa Tanzania ni mgeni katika mtandao huu naomba nitambulishe uwepo wangu hapa, Ahsanteni sana!
Background Check JF-Expert Member Joined Jun 28, 2019 Posts 378 Reaction score 578 Mar 23, 2021 #2 Makungu jr said: Habari zenu wapendwa, mi ni mtu mwanaume, ni raia mwema wa Tanzania ni mgeni katika mtandao huu naomba nitambulishe uwepo wangu hapa, Ahsanteni sana! Click to expand... Karibu sana. Tunaomba taarifa zako za kina ikiwa pamoja na vyeti vyako vya taaluma na kuzaliwa. Hahahaha!... Natania karibu sana ndugu.
Makungu jr said: Habari zenu wapendwa, mi ni mtu mwanaume, ni raia mwema wa Tanzania ni mgeni katika mtandao huu naomba nitambulishe uwepo wangu hapa, Ahsanteni sana! Click to expand... Karibu sana. Tunaomba taarifa zako za kina ikiwa pamoja na vyeti vyako vya taaluma na kuzaliwa. Hahahaha!... Natania karibu sana ndugu.
Makungu jr New Member Joined Mar 23, 2021 Posts 4 Reaction score 6 Mar 23, 2021 Thread starter #3 MJUZI WA JUZI said: Karibu sana. Tunaomba taarifa zako za kina ikiwa pamoja na vyeti vyako vya taaluma na kuzaliwa. Hahahaha!... Natania karibu sana ndugu. Click to expand... ahsante sana.
MJUZI WA JUZI said: Karibu sana. Tunaomba taarifa zako za kina ikiwa pamoja na vyeti vyako vya taaluma na kuzaliwa. Hahahaha!... Natania karibu sana ndugu. Click to expand... ahsante sana.
M MakaDik JF-Expert Member Joined May 31, 2019 Posts 240 Reaction score 138 Mar 24, 2021 #4 Karibu Sana hapa JF-GT, lakini mbona jina kama vile sio geni humu?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,870 Reaction score 13,854 Mar 24, 2021 #5 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,923 Reaction score 61,038 Mar 24, 2021 #6 Aiseee kwanini usingekuwa mdada
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,100 Reaction score 110,902 Mar 30, 2021 #7 Karibu sana JamiiForums...