Garmii Senior Member Feb 26, 2011 164 19 Feb 26, 2011 #1 Wana jf,kwnza kabisa nawapongeza sn kwa kuleta mchanganuo wa kimaisha unaoendana na wakati uliopo,mm binafsi nimeguswa na mijadala inayokuwepo hapa.Naombeni mnipokee na kunipa mwongozo panapo stahili,thanks.
Wana jf,kwnza kabisa nawapongeza sn kwa kuleta mchanganuo wa kimaisha unaoendana na wakati uliopo,mm binafsi nimeguswa na mijadala inayokuwepo hapa.Naombeni mnipokee na kunipa mwongozo panapo stahili,thanks.
Mpevu JF-Expert Member Nov 23, 2010 1,805 173 Feb 26, 2011 #2 Karibu sana, afadhali uje tuchangie kwa mapana .. na .usije kwa kutafuta mpnz au mchumba tuuu. PakaJimmy atakutumia Policy & procedures.
Karibu sana, afadhali uje tuchangie kwa mapana .. na .usije kwa kutafuta mpnz au mchumba tuuu. PakaJimmy atakutumia Policy & procedures.
Garmii Senior Member Feb 26, 2011 164 19 Feb 26, 2011 Thread starter #3 Mpevu said: Karibu sana, afadhali uje tuchangie kwa mapana .. na .usije kwa kutafuta mpnz au mchumba tuuu. PakaJimmy atakutumia Policy & procedures. Click to expand... nashukuru kaka nipo kwa sababu ya kujiongeza na c wachumba,pamoja sn mkuu.
Mpevu said: Karibu sana, afadhali uje tuchangie kwa mapana .. na .usije kwa kutafuta mpnz au mchumba tuuu. PakaJimmy atakutumia Policy & procedures. Click to expand... nashukuru kaka nipo kwa sababu ya kujiongeza na c wachumba,pamoja sn mkuu.
Keren_Happuch JF-Expert Member Jan 14, 2011 1,874 935 Feb 26, 2011 #4 Karibu sana Mkuu....unaweza ukapata kahawa......:coffee:
Yahemovich Senior Member Jan 20, 2011 170 3 Feb 26, 2011 #5 Karibu, tujenge na kushare experience about reality.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Feb 27, 2011 #6 Karibu sana mkuu, soma kwa makini sheria na kanuni za jamvi letu!