Utalii wa ndani - kuhusu Mwanza....?

Utalii wa ndani - kuhusu Mwanza....?

Mgombezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
610
Reaction score
186
UTALII WA NDANI, KUHUSU MWANZA.....???

Naomba kufahamu sehemu za kutembelea (sight seen) MJINI MWANZA, zikiwemo sehemu zenye vivutio, historia, chakula; vile vile sehemu za malazi.

Mliopo MWANZA fungukeni.......!!!
 
Chakula, Kirumba Resort. Kivutio, saa nane island na kamanga, Kulala sasa chagua mwenyewe, kuna hotel ziko hadi nyakato, igoma, mkolani ni nzuri tu, hapo pa kulala ni mfuko wako tu, mfuko ukiruhusu kalale Malaika au Ryians hotel

Karibu
 
Chakula nenda kirumba resort, pakujirusha nenda fussion club ama villa park ama gold crest, pakulala nenda hata ryans bay, ila mfuko wako uwe mpana, karibu mwanza ila jua kuwa ukimwi pia huku upo! Take care
 
Chakula, Kirumba Resort. Kivutio, saa nane island na kamanga, Kulala sasa chagua mwenyewe, kuna hotel ziko hadi nyakato, igoma, mkolani ni nzuri tu, hapo pa kulala ni mfuko wako tu, mfuko ukiruhusu kalale Malaika au Ryians hotel

Karibu
Umeguswa maeneo yako ya kujidai sawa sawa!
 
Back
Top Bottom