B Blackhome New Member Joined Apr 11, 2025 Posts 2 Reaction score 2 Aug 2, 2025 #1 Wana Jf Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kutaka kushughulika na kilimo cha zao la vanila. Naomba mwenye uelewa kuhusu eneo linalostahili kilimo hicho, gharama na makadirio ya faida na hasara anielimishe.
Wana Jf Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kutaka kushughulika na kilimo cha zao la vanila. Naomba mwenye uelewa kuhusu eneo linalostahili kilimo hicho, gharama na makadirio ya faida na hasara anielimishe.